Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Game overrrrrrr! How i admire MBEYA CITY!..... ila azam ndo chama kubwaaaa
 
Huku Mbande mpira umeisha

Azam 3 - 3 Mbeya City
 
Hivi hawa Mbeya City si ndo Julio alidai watashuka daraja?
 
Bahati yao hawa wauza rambaramba dadeki. Wakienda Mby lazima wapakatwe.
 
Hureeeee,Dadi saana mbeya city my home team,but timu ya wananchi ileeee kileleni.
 
Tunashukuru sana Mbeya city Fc,mmejitahidi sana,turudi nyumbani tuklajipange kwa raundi ya pili.
Pole sana Ndetichia kwa presha ulioipata kutoka kwa watoto wa Mbeya city.

Runawakaribisha mashabiki kuipa sapoti Mbeya city Fc,karibuni sana
 
Back
Top Bottom