Kwanini ushoga Ni mbaya...taja point 2 zisizohusisha Dini(5 marks)
1. Mahusiano ya kishoga yanamaanisha mwisho wa civilization as we know it. Kwanza itapunguza uzao kwa maana watu watakuwa hawazaliani kama vile inavyotakiwa na hivyo kuna jamii zitaathirika san.
2. Ushoga ni matokeo ya childhood traumatic upbringings. Fuatilia mashoga wengi kwa umakini halafu uchuze makuzi yao, majority ni dosari za ukuaji ambazo zimeathiri ukuaji wa mtoto eneo la kujitambua majukumu na wajibu wa kijinsia. So kuside au kungana mkono na mashoga inabidi tuunge mkono na makundi mengine wenye childhood traumatic issues kama pedophiles, rapists, serial killers, narcissist, etc.
3. Practice ya ushoga ni same na ile practice mnaita kula jicho au kwa mpalange ambayo kwa sasa inafanywa sana hapa bongo. Kile kitendo kina haramishwa sababu kipo against safe sexual intercourse ya normal organs.
Huko nyuma ni discharge point ya taka mwili kali ambazo zinakiwango kikubwa sana cha bacteria na virus ambao kwa bahati mbaya au makusudi wakigusa maeneo mengine ya mwili ambayo yanahusiana na damu kunaweza sababisha maambukizi ya maradhi yasiyo na tiba na yenye madhara na hata kifo. Jiulize why miaka hii kuna STDs nyingi sana kama UTI, Herpes, HPV ya Genital warts, syphilis, PID. Haya ni machache sana ila yapo mengi ambayo yatakuja.
4. Its an hygiene practice. Wanasema mapenzi ni uchafu ila sio to that extent. Sidhani kama umeshawahi kujua kinachotokea kwa anae shiriki haya mambo, vyovyote vile iwe mwanaume au mwanamke.
Ile njia ya chini inapokuwa disturbed kuna pressure huwa inafanya ndani kureact na hivyo kuna maji huwa excreted au niseme discharged by linings za kuta za ile njia kwa ndani na kumfanya muhusika kuwa na hali ya kutoa uchafu sawa na choo cha kuendesha/kuharisha. Hii si nzuri. Nitakupa mfano siku moja kuna dada aliahibika kwenye daladala maana alikuwa akitoka hizo vitu ilibidi asitiliiwe kwa kushushwa kwa kifupi daladala iilienda carwash.
5. Spiritually ni tatizo. Sababu kama nilivyo kuelezea katika point namba 2 pale kuwa hawa watu wanakuwa na mental issues and therefore wanahitaji msaada wa haraka sana wa kiakili.
But kwa sababu sizizojulikana ila kama kawaida ya wazungu wameamua kuwa tuwakubali kama ni sehemu ya wanajamii walioshindwa kupambana na mental illness zao.
Na kwasababu hawaui wala kudhuru mtu kama victims wengine wa mental illness kama pedophiles, rapists, serial killers etc then basi hawa wanaachwa sababu jamii ikiwarudi kuna kuwa na matukio ya kujiua au kujidhuru sababu jamii inashindwa kuelewa vita au mnaso walionao kichwani kupambana na hili tatizo la kiakili.
Therefore, kiroho na kinafsi mtu ambaye anakubali kuingiliwa kinyume na maumbile huvunjika zaidi beyond repair na ni ngumu kurejea tena spirit yake ya awali ya ukamili.
Mwanaume akishafanyiwa ule uchafu huwa hawezi tena kuwa kiongozi kwa nafsi yake na pia kwa jamii na hii ni hatari sana kwa maendeleo ya jamii na kizazi sababu wanaume viongozi wanapotoweka then maadui kitoka Jamii zingine ni rahisi sana kushambulia wanawake na watoto na kuwafanya wanavyotaka ikiwamo kutumia rasilimali za jamii husika.
6. Ushoga sio tamaduni au mfumo wa binadamu au hata wanyama bali ni tatizo la kiakili. Kama haumani tazama tena watu wanofanya ushoga wanaanza kuiga mfumo ule ule walioupinga wa kibinadamu kwa m'moja kujifanya mwanaume mwingine mwanamke ( imagine wanaishi kwa kupretend na kuimagine kama vile watoto wanavyoigiza kuwa madaktari, maiinjinia, mapolisi kwenye michezo yao ya utoto),wanaigiza kuwa na familia ila kwa kuadopt watoto wa wengine, au kwa kupandikiza mbegu kwa surrogates, lakini pia wanataka jamii iwakubali kushare mfumo wao kuwa halali hadi kwenye imani jambo ambalo inastaajabisha sana kwamba kama wewe umeamua kuishi nje ya utamaduni wa binadamu wa kawaida ikiwamo imani zao why sasa unaforce wakukubali na wakuingize katika vitabu vyao, why usitengeneze vitabu vyako na kanisa au msikiti wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu si ni ufala jamani.
Anyways hizi ni sababu chache sana kati ya nyingine nyingi. Kama haujaridhika niulize maswali nitakujibu. Mimi siamini katika kugombana bali katika kuelimishana na kuonyeshana ukweli kwasababu si kila mtu amekuwa na bahati ya kuzaliwa mazingira ya kuelewa maisha au si kila mtu ana bahati ya kupata malezi mazuri ya maadili na kukua salama kama wengine.