'SuperPower' alalamika 'njaa': Ikulu 'nyeupe' yaitisha kongamano rasmi kujadili namna ya kupambana na adui mpya 'njaa' anayelitafuna taifa

Hatari sana. Huyo jamaa hapo anayefungua mafriji utadhani anatoka Ethiopia.kaisha kabisa. Sasa ni zamu yao.
 
Kwa sisi africa tushazoea ndio maisha yetu na tunaona kawaida, sasa mimi nilidhani urusi ndio ana njaa kwa kua yupo vitani na ana vikwazo, sijui imekuaje tunaemtegemea nae ana njaa.?
 
Hata raia wa sirilanka walikua wanakufa njaa lakini rais wao anajenga uwanja wa ndege wa gharama kijijini kwake, tz tulikua tunakufa njaa lkn magu anajenga miradi kila kona.
 
Hata raia wa sirilanka walikua wanakufa njaa lakini rais wao anajenga uwanja wa ndege wa gharama kijijini kwake, tz tulikua tunakufa njaa lkn magu anajenga miradi kila kona.
Kwa hiyo unalinganisha sr-lanka ,tz na USA ulishafika Marekani mkuu maana usikute hata hujawah fika unaongelea mitandaon
 
Kwa hiyo unalinganisha sr-lanka ,tz na USA ulishafika Marekani mkuu maana usikute hata hujawah fika unaongelea mitandaon
Mkuu acha kupaniki bure...huyu hapa Rais Biden anaijua Marekani na raia wake vyema kuliko wewe mchimba chumvi wa Uvinza uliyenyweshwa maji ya bendera ya US 🇺🇸🇺🇸. Biden anakiri njaa kuwa janga kubwa Marekani na anaitisha kongamano kupokea maoni juu ya namna ya kumshinda adui njaa (kama unaweza msikiliza na kumuelewa mzungu akitema English)

 
Wanaona maruweruwe walitegemea vitu kama hivi aongee mrusi na sio hao mabwana zao
 
Hao jamaa ni fala sana, Nchi kama Tanzania sijawai sikia ndani ya nchi kuna njaa ya kutisha kiasi hicho cha kuua watu, ukiwaambia, wanalukia kutoa mfano wa average ya whole Africa Continent kulinganisha na nchi moja ya marekani, pumbavu kabisa wake z USA, kila wanalofanya US kwao wanabaliki, raisi anasema kuna njaa, wao viongozi walioko juu ya raisi wa Marekani wanadai hakuna njaa.
 
Kwa hiyo unalinganisha sr-lanka ,tz na USA ulishafika Marekani mkuu maana usikute hata hujawah fika unaongelea mitandaon
Wote waliotoa maagizo ni marais na wanaongoza binadam sioni tofauti yake hapo maana kila agizo limeleta adhari kwa nchi husika,
Niwe nimefika au sijafika us ina maana ukiwa marekani huskiii njaa kama bongo? Au unaweza kula chakula cha wiki nzima kwa pamoja? Njaa ni njaa tu.

Unachosema wewe sawa na mtu atoke kijijini hukoooo ndanindani akifika dar akiona magari, mijumba na mengi yaliyomo anawaza humu hamna mwenye njaa kumbe wapo kibao
 
 
Kwa hiyo hapo katangaza baa la njaa ? Au kisa umenasa neno hunger?Unajitekenya tuu ,Marekani hawz kumbwa na njaa hata siku moja labda sisi huku
 
Njaa ipi inayoikabili Marekani Mkuu? Marekani ikiathirika na njaa unayoijua wewe utakuwa kaburini wala usingeweza kupost uzi huu sababu ya njaa.
Huyu hajafahamu hiyo heading,hiyo njaa itakayozungumzwa hapo ni njaa inayoikumba third World countries kutokana na vita na mabadiliko ya tabia nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…