'SuperPower' alalamika 'njaa': Ikulu 'nyeupe' yaitisha kongamano rasmi kujadili namna ya kupambana na adui mpya 'njaa' anayelitafuna taifa

'SuperPower' alalamika 'njaa': Ikulu 'nyeupe' yaitisha kongamano rasmi kujadili namna ya kupambana na adui mpya 'njaa' anayelitafuna taifa

Duh...kweli adui yako mwombee njaaa!

Hivi kweli 'SuperPower' wetu kafikia hatua ya kulialia njaa?! Hadi Ikulu 'kubwa' kuitisha kongamano rasmi la kujadili namna ya kupigana vita na adui mpya 'njaa' anayesumbua taifa teule!

Kweli maajabu hayaishi dunia hii.

Asante sana Urusi kumvua nguo Super Power hadi kufikia level za third world countries ambazo nazo bado zapambana na adui njaa.

Ee Magufuli, Mungu angekujaalia umri walau miaka mitano ungeshuhudia zile ndoto zako za kuwaona watu (mabeberu) waliokuwa wakiishi kama malaika kwa dezodezo za mafuta na gesi za Urusi sasa wanaishi kama mashetani vile..
====

View attachment 2339084
Hatari sana. Huyo jamaa hapo anayefungua mafriji utadhani anatoka Ethiopia.kaisha kabisa. Sasa ni zamu yao.
 
Going hungry in America au Europe so kama unavyofikiri mjinga wewe , Kule kuna food banks ,kuna voluntray donations , food stamps programs zilizogharamikiwa na serikali Kwa unemployed na poor people .No body dies of hunger
Hebu niambie ni nchi gani hapa Africa ina hizo social safety nets ?
Nyie wapumbav mnaojengewa vyoo , idiots .
Africa everyday people died of hunger ,unajua ni watu wangapi wanakufa Kwa njaa kila siku Africa ?
Hebu taja watu wangapi wanakufa Kwa njaa USA
Halafu Rudi kuandika upuuz wako hapa
View attachment 2339123
Kwa sisi africa tushazoea ndio maisha yetu na tunaona kawaida, sasa mimi nilidhani urusi ndio ana njaa kwa kua yupo vitani na ana vikwazo, sijui imekuaje tunaemtegemea nae ana njaa.?
 
Wabongo bwana,ila Hili jukwaa raha sana utakutana na vichaa,wanasiasa ,matapeli,walevi,vilaza eti marekani watu wake wanakufa njaa? wakati US aid juz katoa US dollars million 26 kwenye wizara ya elimu kupushi ujenzi wa madarasa,endelea kunywa uji na kuota ndoto za mchana
Hata raia wa sirilanka walikua wanakufa njaa lakini rais wao anajenga uwanja wa ndege wa gharama kijijini kwake, tz tulikua tunakufa njaa lkn magu anajenga miradi kila kona.
 
Hata raia wa sirilanka walikua wanakufa njaa lakini rais wao anajenga uwanja wa ndege wa gharama kijijini kwake, tz tulikua tunakufa njaa lkn magu anajenga miradi kila kona.
Kwa hiyo unalinganisha sr-lanka ,tz na USA ulishafika Marekani mkuu maana usikute hata hujawah fika unaongelea mitandaon
 
Kwa hiyo unalinganisha sr-lanka ,tz na USA ulishafika Marekani mkuu maana usikute hata hujawah fika unaongelea mitandaon
Mkuu acha kupaniki bure...huyu hapa Rais Biden anaijua Marekani na raia wake vyema kuliko wewe mchimba chumvi wa Uvinza uliyenyweshwa maji ya bendera ya US 🇺🇸🇺🇸. Biden anakiri njaa kuwa janga kubwa Marekani na anaitisha kongamano kupokea maoni juu ya namna ya kumshinda adui njaa (kama unaweza msikiliza na kumuelewa mzungu akitema English)

Wanaona maruweruwe walitegemea vitu kama hivi aongee mrusi na sio hao mabwana zao
 
Mkuu acha kupaniki bure...huyu hapa Rais Biden anaijua Marekani na raia wake vyema kuliko wewe mchimba chumvi wa Uvinza uliyenyweshwa maji ya bendera ya US 🇺🇸🇺🇸. Biden anakiri njaa kuwa janga kubwa Marekani na anaitisha kongamano kupokea maoni juu ya namna ya kumshinda adui njaa (kama unaweza msikiliza na kumuelewa mzungu akitema English)

Hao jamaa ni fala sana, Nchi kama Tanzania sijawai sikia ndani ya nchi kuna njaa ya kutisha kiasi hicho cha kuua watu, ukiwaambia, wanalukia kutoa mfano wa average ya whole Africa Continent kulinganisha na nchi moja ya marekani, pumbavu kabisa wake z USA, kila wanalofanya US kwao wanabaliki, raisi anasema kuna njaa, wao viongozi walioko juu ya raisi wa Marekani wanadai hakuna njaa.
 
Kwa hiyo unalinganisha sr-lanka ,tz na USA ulishafika Marekani mkuu maana usikute hata hujawah fika unaongelea mitandaon
Wote waliotoa maagizo ni marais na wanaongoza binadam sioni tofauti yake hapo maana kila agizo limeleta adhari kwa nchi husika,
Niwe nimefika au sijafika us ina maana ukiwa marekani huskiii njaa kama bongo? Au unaweza kula chakula cha wiki nzima kwa pamoja? Njaa ni njaa tu.

Unachosema wewe sawa na mtu atoke kijijini hukoooo ndanindani akifika dar akiona magari, mijumba na mengi yaliyomo anawaza humu hamna mwenye njaa kumbe wapo kibao
 
Mkuu acha kupaniki bure...huyu hapa Rais Biden anaijua Marekani na raia wake vyema kuliko wewe mchimba chumvi wa Uvinza uliyenyweshwa maji ya bendera ya US 🇺🇸🇺🇸. Biden anakiri njaa kuwa janga kubwa Marekani na anaitisha kongamano kupokea maoni juu ya namna ya kumshinda adui njaa (kama unaweza msikiliza na kumuelewa mzungu akitema English)

Kwa hiyo hapo katangaza baa la njaa ? Au kisa umenasa neno hunger?Unajitekenya tuu ,Marekani hawz kumbwa na njaa hata siku moja labda sisi huku
 
Njaa ipi inayoikabili Marekani Mkuu? Marekani ikiathirika na njaa unayoijua wewe utakuwa kaburini wala usingeweza kupost uzi huu sababu ya njaa.
Huyu hajafahamu hiyo heading,hiyo njaa itakayozungumzwa hapo ni njaa inayoikumba third World countries kutokana na vita na mabadiliko ya tabia nchi
 
Back
Top Bottom