wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Ni kijana tu yupo kwenye 30s flani za ukingoni imeenda sana ni 40, kwa jinsi alivyo kimuonekano, gari anazotembelea, mavazi, n.k. waweza kumchukulia poa sana ila ni supplier mikoani + exports nje ya nchi,
Nikapewa data na rafiki yupo sekta ya banking akanijuza kijana alikuwa anadaiwa bilioni 80, kafanya investments zake kwenye rasilimali tele nchi hii ilizobarikiwa, hivi karibu kamaliza marejesho yake, Hakuna mambo ya kuzima simu wala kukimbizana kwenye marejesho.
Kilichonistusha ni Guts / uthubutu wa kuchukua hicho kiasi kikubwa maana ni risk kubwa sana unaweza kufilisiwa assets zote mambo yakiyumba ndio maana watu wengi wana assets lakini wanaogopa mikopo, pia kulipa marejesho kikamilifu inaonesha kulikuwa na mpango kazi planning za kutosha sana kwenye uwekezaji
Wabongo wengi madeni ya biashara milioni 1, 10, 100 mpaka Bilioni, na hapo kuna kuzima sana simu, kukimbizana, kubadili njia, mkikutana anaongeza speed macho mbele utadhani hajakuona, n.k. tutafika kweli ?
naona bado tupo nyuma mno na hii inasababishwa na one man army baba akifariki muvi imeisha, kukosa connections za nje, kukosa uaminifu, n.k.