Supplier wangu Muhindi aliekuwa na deni la Bilioni 80 kalimaliza, Nimekaa na kutafakari hawa watu wapo serious na biashara, bado tuna safari ndefu

Soma kitabu cha safari yangu kutoka Bukene cha Andy Chande.Kilishawahi kuwekwa humu hao mafala wana family support system sio ya dunia hii. Sisi Miswahili tunapwaya kwenye hao.Na wao kuna mahayawani chungu nzima lakini wanabebana .
 
Screenshot_20241216-075859.jpg
 
Ni kijana tu yupo kwenye 30s flani za ukingoni imeenda sana ni 40, kwa jinsi alivyo kimuonekano, gari anazotembelea, mavazi, n.k. waweza kumchukulia poa sana.

Nikapewa data na rafiki yupo sekta ya banking akanijuza kijana alikuwa anadaiwa bilioni 80, kafanya investments zake kwenye rasilimali tele nchi hii ilizobarikiwa, hivi karibu kamaliza marejesho yake, Hakuna mambo ya kuzima simu wala kukimbizana kwenye marejesho.

Wabongo wengi madeni ya biashara milioni 1, 10, 100 mpaka Bilioni, na hapo kuna kuzima sana simu, kukimbizana, n.k. tutafika kweli ?

naona bado tupo nyuma mno na hii inasababishwa na one man army baba akifariki muvi imeisha, kukosa connections za nje, kukosa uaminifu, n.k.
Na wewe Ngozi nyeusi ulie sign confidentiality policy mbona unatoa siri za wateja wa kampuni ?
 
Usijidanganye..biashara za hao watu sio za leo - niliishawahifanya na muhindi - dogo kazaliwa 1998- katoka chuo Uingereza kakabidhiwa kampuni 13 asimamie - sio mchezo..sasa huyu ukisikia kakopa billioni 100 utashangaa kweli?? Wana-apartments za kutosha masaki, wana - maviwanda ya rangi, wana - contruction kampani tangu kipindi cha Nyerere mpaka leo, yaani babu yao ndo alianzisha etc..hayo magari kama serikali...
Nenda kwa watoto wa ASASI tu hapo..kuna watu machalii lkn wanasukuma biashara za mabilioni na wanakopa bank..
Usishangae Umri nyuma yake kuna watu wazito sana, huyo anakuwa kama wakala tu
 
Kukopa sio kitu kirahisi kama unavyodhani,

Watu wengi sana wana assets kibao lakini wanakaa mbali na mikopo,

NI MKOPO SIO ZAWADI
 
Usijidanganye..biashara za hao watu sio za leo - niliishawahifanya na muhindi - dogo kazaliwa 1998- katoka chuo Uingereza kakabidhiwa kampuni 13 asimamie - sio mchezo..sasa huyu ukisikia kakopa billioni 100 utashangaa kweli?? Wana-apartments za kutosha masaki, wana - maviwanda ya rangi, wana - contruction kampani tangu kipindi cha Nyerere mpaka leo, yaani babu yao ndo alianzisha etc..hayo magari kama serikali...
Nenda kwa watoto wa ASASI tu hapo..kuna watu machalii lkn wanasukuma biashara za mabilioni na wanakopa bank..
Usishangae Umri nyuma yake kuna watu wazito sana, huyo anakuwa kama wakala tu
Kama una mindset hiyo na wewe nenda benki kakope kwa assets ulizonazo, Watu mnachukulia mikopo kirahisi rahisi sana
 
Wahind Wana mambo mengi sana nyuma ya pazia ila kiukweli sio wahuni ,Huwa wanaoa mapema,wapo disciplined na Hela,wanavaa simple.mademu wao wanavaa kawaida sana,huwezi kukuta kasuka nywele za laki
Njoo kwa hawa wetu...mtu yupo jobless ila mzinga kwa boy wake wa kusuka nywele za 70k. Unashangaa kabisa huyu kweli ana akli au matope
 
Anakopeshwa mtu mwenye vigezo. Kama kapewa 80B ujue alikua na collateral inayoendana na mkopo alioomba. Kama alikua na hiyo collatareal inamaanisha tayari anajua anachokifanya.

Lugumi kasema alikopwa 40M USD na Manji hiyo ni zaidi ya 80B alizokopa huyo mhindi na karudisha. So inawezekana.

Maskini mnaambiana kila siku mikopo mibaya endeleeni kulishana upepo utakusanya laki3 3 zako hadi zifike Billion moja sijui mwaka gani. Your network, your networth.

DeHl4LfKxBVi8RO4.jpg
 
Back
Top Bottom