Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Siyo jamaa yake no mwenyewe ndiyo banker na hapa anaongelea habari za wateja wake.So huyo banker anatoa siri za wateja?.! Wajiande kuingizwa mahakamani na kudaiwa fidia ya kutoa siri za biashara za mteja wao
Bahati nzuri hajamtaja jina au kampuni yake.