Supplier wangu Muhindi aliekuwa na deni la Bilioni 80 kalimaliza, Nimekaa na kutafakari hawa watu wapo serious na biashara, bado tuna safari ndefu

Supplier wangu Muhindi aliekuwa na deni la Bilioni 80 kalimaliza, Nimekaa na kutafakari hawa watu wapo serious na biashara, bado tuna safari ndefu

So huyo banker anatoa siri za wateja?.! Wajiande kuingizwa mahakamani na kudaiwa fidia ya kutoa siri za biashara za mteja wao
Haha uzuri wake huyo mteja hata hajatajwa jina wala bank husika. Au labda kama ni wewe na hata huko maakamani sijui utashinda kwa ground gani wakati msingi wa shauri lenyewe huna😆😆
 
Ni kijana tu yupo kwenye 30s flani za ukingoni imeenda sana ni 40, kwa jinsi alivyo kimuonekano, gari anazotembelea, mavazi, n.k. waweza kumchukulia poa sana.

Nikapewa data na rafiki yupo sekta ya banking akanijuza kijana alikuwa anadaiwa bilioni 80, kafanya investments zake kwenye rasilimali tele nchi hii ilizobarikiwa, hivi karibu kamaliza marejesho yake, Hakuna mambo ya kuzima simu wala kukimbizana kwenye marejesho.

Kilichonistusha ni Guts / uthubutu wa kuchukua hicho kiasi kikubwa maana ni risk kubwa sana unaweza kufilisiwa assets zote mambo yakiyumba ndio maana watu wengi wana assets lakini wanaogopa mikopo, pia kulipa marejesho kikamilifu inaonesha kulikuwa na mpango kazi planning za kutosha sana kwenye uwekezaji

Wabongo wengi madeni ya biashara milioni 1, 10, 100 mpaka Bilioni, na hapo kuna kuzima sana simu, kukimbizana, n.k. tutafika kweli ?

naona bado tupo nyuma mno na hii inasababishwa na one man army baba akifariki muvi imeisha, kukosa connections za nje, kukosa uaminifu, n.k.
Alikukopa wewe hizo Bilioni 80 au? 😆😆

Sema ulitaka utuambie mikopo Mingi ya wabongo ni vihela vidogo vidogo.

Ndio ukweli Kwa sababu watu wengi ni wabangaizaji.
 
Boss jamaa alinikopesha 100,000/= Kwa makubaliano baada ya wiki mbili atanirudishia pesa yangu...ila ilimchukua mwezi mzima kunirejeshea, ambapo na penyewe alinirushia kwenye simu 65,000/=(nikatoa buku ya makato) akaniambia nyingine iliyobaki atanipa kesho yake.

Hiyo kesho yake ndio zikaanza kalenda nyingi mpaka akafikia hatua ya kutopokea simu.

Lakini Pamoja na njaa zangu, kuhusu deni nilisha samehe muda sana ila yeye ndio Bado anajishtukia, yes alikuwa ni mwanangu mno na tulikuwa na mipango mingi na yeye ikiwemo kwenda nje ya nchi...!! Huwa naskitika sana kila nikimkumbuka.
Bora hamkwenda nje ya nchi maana watu wa hivyo hawakawii kukuuza kwa euro kwenye mashamba ya wazungu huko nje
 
Ni kijana tu yupo kwenye 30s flani za ukingoni imeenda sana ni 40, kwa jinsi alivyo kimuonekano, gari anazotembelea, mavazi, n.k. waweza kumchukulia poa sana.

Nikapewa data na rafiki yupo sekta ya banking akanijuza kijana alikuwa anadaiwa bilioni 80, kafanya investments zake kwenye rasilimali tele nchi hii ilizobarikiwa, hivi karibu kamaliza marejesho yake, Hakuna mambo ya kuzima simu wala kukimbizana kwenye marejesho.

Kilichonistusha ni Guts / uthubutu wa kuchukua hicho kiasi kikubwa maana ni risk kubwa sana unaweza kufilisiwa assets zote mambo yakiyumba ndio maana watu wengi wana assets lakini wanaogopa mikopo, pia kulipa marejesho kikamilifu inaonesha kulikuwa na mpango kazi planning za kutosha sana kwenye uwekezaji

Wabongo wengi madeni ya biashara milioni 1, 10, 100 mpaka Bilioni, na hapo kuna kuzima sana simu, kukimbizana, n.k. tutafika kweli ?

naona bado tupo nyuma mno na hii inasababishwa na one man army baba akifariki muvi imeisha, kukosa connections za nje, kukosa uaminifu, n.k.
huyo ni supplier lakini una mtreat kama debtor wako...we uhasibu umepiga chenga...
 
Mpuuzi yule pale kwake nilipokuwa napafahamu Mimi alishahama, alishindwa Kodi... Na huko alipo hamia sipajui.

Hata deni nimeamua kuachana nalo tu baada ya kumuona ni mjinga.

Imagine mtu mmekuwa marafiki tangu mkiwa form two halafu leo hii urafiki wenu unakuja kuvunjwa na 36,000/=?
Mwaka mmoja na wewe 2023 nimempa mtu 100k ana shida kipindi hiko boom limeisha mpaka warudi likizo.... Mpaka Leo nishachoka kudai...

Kwenye harkt zingine Tena deals hela ndefu daah !! Sema watz hatuna uaminifu

Mimi naweza nisiwe muaminifu sio kwenye deni la mtu au michongo dhuluma sipendi kabisa..... Kudhulumiwa kunaumiza!!

Nakumbuka mzee mmoja alinambia nikikuangalia wewe mimi na watz wote tunadharauliwa na wahindi kwa sababu, hatuheshimu muda, makubaliano mliopeana, uaminifu hatuna!!

Nakumbuka alikuwa ananisisitiza integrity iz all in your life! No matter what integrity!! Integrity mpaka kwenye WhatsApp chats or normal calls!

Nikaja kuelewa wabongo bhn uaminifu ndo unaotufungia milango ya riziki !!
 
Kukopa sio kitu kirahisi kama unavyodhani,

Watu wengi sana wana assets kibao lakini wanakaa mbali na mikopo,

NI MKOPO SIO ZAWADI

Hakuna tajiri au kampuni kubwa inakaa mbali na mikopo be it debt, line of credit, hela za investors and shareholders nk.

Maskini wanaambiwa kaa mbali na mikopo sababu hawajui wafanyie nini hata wakipewa hizo hela.
 
Mpaka apate mkopo wa Biliono 80 it means huyo tayari ni tajiri au mtoto wa tajiri. Hakuna masikini au ngozi nyeusi anayeweza kwenda benki na kupewa bilioni 80 kirahisi rahisi
 
Back
Top Bottom