Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 12,823 Reaction score 21,210 Jan 24, 2025 #121 Lihove2 said: So huyo banker anatoa siri za wateja?.! Wajiande kuingizwa mahakamani na kudaiwa fidia ya kutoa siri za biashara za mteja wao Click to expand... Siyo jamaa yake no mwenyewe ndiyo banker na hapa anaongelea habari za wateja wake. Bahati nzuri hajamtaja jina au kampuni yake.
Lihove2 said: So huyo banker anatoa siri za wateja?.! Wajiande kuingizwa mahakamani na kudaiwa fidia ya kutoa siri za biashara za mteja wao Click to expand... Siyo jamaa yake no mwenyewe ndiyo banker na hapa anaongelea habari za wateja wake. Bahati nzuri hajamtaja jina au kampuni yake.