Suprise ndani ya distance love... inafaa?

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Nielewesheni waungwana mathalani uko mbali Arusha mala ghafla bin vuu unaibukia kiwanja cha mwenzi wako DSM ,Mbeya ,Kigoma whatever kumfanyia suprise inapendeza katika kuimarisha penzi ??

Quote" kaka mmoja alitoka Arusha kwenda DSM kumfanyia Mchumba wake suprise DSM akiwa na magift kibao huku akimaini usiku huo utakuwa full shangwe kwani anaenda kum-engage mpendwa wake..mida ya saa nne usiku amefika katika geti la mchumba mala anamuona anaingia ndani na njemba wako kilaji huku wamekumbatiana kwa mahaba..hatima ya penzi lao waliachana ...

Je inafaa kumfanyia mwenzio suprise bila kumpa taarifa ??

aniyrose2.GIF

FL1🙁
 
Kujitakia matatizo tu, kwa nn usimtaarifu mwenzio kama unaenda ili ajiandae.
 
Ahaa! Ili ajiandae kukupangeni foleni siyo? Haambiwi mtu na nikimfumania kama hivyo, najiexpress na dume afu jike linakula talaka papo hapo.
 
Pretty unajua wengine wanaamini mambo ya suprise yanaimarisha penzi ..hata kwenye mitandao wapi wanadai ooh inabidi sometimes umfanyie mwenzi wako suprise
suprise zenyewe ndo hizi ??
 
Ahaa! Ili ajiandae kukupangeni foleni siyo? Haambiwi mtu na nikimfumania kama hivyo, najiexpress na dume afu jike linakula talaka papo hapo.

Taratibu,Nitalivua pendo kama MJ1 kama mambo yenyewe ndio haya.Ngoja nianze kutunga shairi(Fl1 samahni nimeendakidogo off topic)
 
Xpin umeshawahi kumfanyia wife suprise ??
 
kwa raha zako mamy hata off point mala moja moja zinaruhusiwa
 
Xpin umeshawahi kumfanyia wife suprise ??

Bahati nzuri namwona anaichungulia hii thread, atakujibu mwenyewe na masuprise nayomtwangia. Mi hata kazini kwake namzukia bila taarifa. Yeye hajawahi kunizukia ofisini. Na akinizukia patakuwa hapatoshi huo msala ntakaozua.
 
Taratibu,Nitalivua pendo kama MJ1 kama mambo yenyewe ndio haya.Ngoja nianze kutunga shairi(Fl1 samahni nimeendakidogo off topic)

Just kidding! You know I can't do such a dirty thing darling. Vipi Suprise zangu?
 
ohhh afadhali! maana ilikuwa hatari.Dah zile suprise ni nmwaaa!! nmwaaa! yani nashindwa hata kusema.Uzuri wake na mie mtulivu,you are the only one ,hivyo ma-suprise hayanipi presha.
 
Nielewesheni waungwana mathalani uko mbali Arusha mala ghafla bin vuu unaibukia kiwanja cha mwenzi wako DSM ,Mbeya ,Kigoma whatever kumfanyia suprise inapendeza katika kuimarisha penzi ??

Quote" kaka mmoja alitoka Arusha kwenda DSM kumfanyia Mchumba wake suprise DSM akiwa na magift kibao huku akimaini usiku huo utakuwa full shangwe kwani anaenda kum-engage mpendwa wake..mida ya saa nne usiku amefika katika geti la mchumba mala anamuona anaingia ndani na njemba wako kilaji huku wamekumbatiana kwa mahaba..hatima ya penzi lao waliachana ...

Je inafaa kumfanyia mwenzio suprise bila kumpa taarifa ??

aniyrose2.GIF

FL1🙁

Hapo kwenye Quote umeshajijibu mtu wangu
 
Surprise I believe ni poa katika mahusiano inachangia ku-rekindle mapenzi.lakini jamani uwe tayari pia kuyajua mengi mwenza wako anyoyafanya 'while u were away'.... ni njia moja ya kumfumania kama ana spare part mbili tatu u never know... so just be prepared for anything!! sipendi kuimagine huyo mwenza wako akiwa ni Xspin, Fidel...utakayoyaona duh!!!
 
bado sijajijibu kibweka ni kwe nini mtu uamue kufanya suprise kwa mwenzio bila kumpa taarifa??
Ina mvuto zaidi !!? Or

Bwane we FL kuna watu hawapendi surprises so kama mwenza wako yuko poa I believe its worthwhile.... kama vingine basi bora upige taarifa kitambo.
 
Surprise I believe ni poa katika mahusiano inachangia ku-rekindle mapenzi.lakini jamani uwe tayari pia kuyajua mengi mwenza wako anyoyafanya 'while u were away'.... ni njia moja ya kumfumania kama ana spare part mbili tatu u never know... so just be prepared for anything!! sipendi kuimagine huyo mwenza wako akiwa ni Xspin, Fidel...utakayoyaona duh!!!

Shishi unaonaje ukiniomba radhi kabla sijakuombea dua baya?
 
bado sijajijibu kibweka ni kwe nini mtu uamue kufanya suprise kwa mwenzio bila kumpa taarifa??
Ina mvuto zaidi !!? Or

Bwane we FL kuna watu hawapendi surprises so kama mwenza wako yuko poa I believe its worthwhile.... kama vingine basi bora upige taarifa kitambo...which ceases to be a surprise anyway!
 
Mi nadhani suprise inafaaa sana. inasaidia mengi, kama si kuimarisha penzi bas ni kugundua unafiki katika penzi mapemaaa. Gmorning good people.
 
Shishi unaonaje ukiniomba radhi kabla sijakuombea dua baya?

ahahhahahahah yaani nimecheka sana ...bwana we si wajua we mtoto mzuri its just an example, samahani lakini! u just made the perfect example sijui kwa nini nimehisi hivyo!🙄
 
surprise fanya kwa mtu wa karibu, umetoka zako mwenge unakwenda hapo mbagala fasta, sio umetoka Arusha umekwea ngorika fasta jioni umechumpa dar unaingia ndani unakuta njemba iko kifuani kwa shori wako!, sasa hapo badala ya wewe kumfanyia Sapraisi unajikuta wewe ndio umefanyiwa sapraizi unajikuta unakolapsi hapohapo
 
Back
Top Bottom