FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Nielewesheni waungwana mathalani uko mbali Arusha mala ghafla bin vuu unaibukia kiwanja cha mwenzi wako DSM ,Mbeya ,Kigoma whatever kumfanyia suprise inapendeza katika kuimarisha penzi ??
Quote" kaka mmoja alitoka Arusha kwenda DSM kumfanyia Mchumba wake suprise DSM akiwa na magift kibao huku akimaini usiku huo utakuwa full shangwe kwani anaenda kum-engage mpendwa wake..mida ya saa nne usiku amefika katika geti la mchumba mala anamuona anaingia ndani na njemba wako kilaji huku wamekumbatiana kwa mahaba..hatima ya penzi lao waliachana ...
Je inafaa kumfanyia mwenzio suprise bila kumpa taarifa ??
FL1🙁