Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Karibu Jumamosi kasuku pub kuna kichwa cha mbuzi free of charge
Kichwa sio kitamu kama p!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu Jumamosi kasuku pub kuna kichwa cha mbuzi free of charge
Kichwa sio kitamu kama p!!!
Kwa wale wapenzi,ndugu jamaa na marafiki mnaopenda kupata supu ya kichwa cha mbuzi habari hii inawahusu!
Jana nilipita baa moja nikakuta vichwa vya mbuzi vinaandaliwa kwa ajili ya supu,walikuwa wanatoa vinyweleo/manyoya ya kichwa kwa kutumia VIWEMBE!viwembe hivihivi tunavyotumia kukatia kucha,kunyolea nywele za kichwani kwapa na hata mgodini!
Kwa kweli nilichoka kabisa,kama sio used vile sijui,eeh Mungu baba utunusuru na yatokeayo mbali ya upeo wa macho yetu
Ina ladha ya kipekee yani ni tamu balaa......
mmh! sasa mbona utakuwa umechelewa sana?? manake labda wewe ni mtu wa mwisho kujua hilo. wote humu wanajua hilo na wananijua kwa kaniona kabisaa.
mkuu kwani unamfuatilia huyu?
Ina ladha ya kipekee yani ni tamu balaa......
Kwa wale wapenzi,ndugu jamaa na marafiki mnaopenda kupata supu ya kichwa cha mbuzi habari hii inawahusu!
Jana nilipita baa moja nikakuta vichwa vya mbuzi vinaandaliwa kwa ajili ya supu,walikuwa wanatoa vinyweleo/manyoya ya kichwa kwa kutumia VIWEMBE!viwembe hivihivi tunavyotumia kukatia kucha,kunyolea nywele za kichwani kwapa na hata mgodini!
Kwa kweli nilichoka kabisa,kama sio used vile sijui,eeh Mungu baba utunusuru na yatokeayo mbali ya upeo wa macho yetu
ina madhara gani kwani!!! nishakula ni tamu asikuambie mtu....Daah! hii kitu wanawake hawaruhusiwi kula Evelyn Salt. Wewe ulikula!!!:confused2:
Daah! hii kitu wanawake hawaruhusiwi kula Evelyn Salt. Wewe ulikula!!!:confused2:
Atakua kongoro na mkia ni hivyo hivyo,we ndio umejua leo?tapika basi ebo!Kwa wale wapenzi,ndugu jamaa na marafiki mnaopenda kupata supu ya kichwa cha mbuzi habari hii inawahusu!
Jana nilipita baa moja nikakuta vichwa vya mbuzi vinaandaliwa kwa ajili ya supu,walikuwa wanatoa vinyweleo/manyoya ya kichwa kwa kutumia VIWEMBE!viwembe hivihivi tunavyotumia kukatia kucha,kunyolea nywele za kichwani kwapa na hata mgodini!
Kwa kweli nilichoka kabisa,kama sio used vile sijui,eeh Mungu baba utunusuru na yatokeayo mbali ya upeo wa macho yetu
Ina ladha ya kipekee yani ni tamu balaa......
evelyn salt usipopenda p nani apende?