Supu ya kichwa cha mbuzi

Supu ya kichwa cha mbuzi

pole kamanda unaogopa hiyo kitu kumbe kuna mambo mengine ukiyajua utatia huruma daima inabidi usiwe mchunguzi kabisa hata house gali akipika home ukichunguza unaweza usile
 
Kwa wale wapenzi,ndugu jamaa na marafiki mnaopenda kupata supu ya kichwa cha mbuzi habari hii inawahusu!

Jana nilipita baa moja nikakuta vichwa vya mbuzi vinaandaliwa kwa ajili ya supu,walikuwa wanatoa vinyweleo/manyoya ya kichwa kwa kutumia VIWEMBE!viwembe hivihivi tunavyotumia kukatia kucha,kunyolea nywele za kichwani kwapa na hata mgodini!

Kwa kweli nilichoka kabisa,kama sio used vile sijui,eeh Mungu baba utunusuru na yatokeayo mbali ya upeo wa macho yetu

ulitaka wanyolee mashine? kama ulikuwa hujui habari ndio hiyo na kwa taarifa yako sio kichwa cha mbuzi tu hata kitimoto
mpango ni huo huo...
 
mmh! sasa mbona utakuwa umechelewa sana?? manake labda wewe ni mtu wa mwisho kujua hilo. wote humu wanajua hilo na wananijua kwa kaniona kabisaa.

Kweli nimekuwa wa misho..
Ila afadhali maana ningekuwa wa kwanza ama wa kati kati mambo yangekuwaga mengine si unajua tena mie niko addicted na wadada wa kimachame.................!:becky::becky::becky:
 
Mkuu mimi niliwahi kusikia kuwa wanatumia laserII, (shaver razor blade cartridge) sasa sijui wanatumia mpya au ni zilizotumika. anyways yote humuachia mungu maana tukichunguza sana mazingira ya vyakula zinavyoandaliwa tutashindwa kuzitia midomon.
Kwa wale wapenzi,ndugu jamaa na marafiki mnaopenda kupata supu ya kichwa cha mbuzi habari hii inawahusu!

Jana nilipita baa moja nikakuta vichwa vya mbuzi vinaandaliwa kwa ajili ya supu,walikuwa wanatoa vinyweleo/manyoya ya kichwa kwa kutumia VIWEMBE!viwembe hivihivi tunavyotumia kukatia kucha,kunyolea nywele za kichwani kwapa na hata mgodini!

Kwa kweli nilichoka kabisa,kama sio used vile sijui,eeh Mungu baba utunusuru na yatokeayo mbali ya upeo wa macho yetu
 
Kwa wale wapenzi,ndugu jamaa na marafiki mnaopenda kupata supu ya kichwa cha mbuzi habari hii inawahusu!

Jana nilipita baa moja nikakuta vichwa vya mbuzi vinaandaliwa kwa ajili ya supu,walikuwa wanatoa vinyweleo/manyoya ya kichwa kwa kutumia VIWEMBE!viwembe hivihivi tunavyotumia kukatia kucha,kunyolea nywele za kichwani kwapa na hata mgodini!

Kwa kweli nilichoka kabisa,kama sio used vile sijui,eeh Mungu baba utunusuru na yatokeayo mbali ya upeo wa macho yetu
Atakua kongoro na mkia ni hivyo hivyo,we ndio umejua leo?tapika basi ebo!
 
Back
Top Bottom