Supu ya pweza na uwezo wa kimapenzi

Ni ukweli kabisa, nimekula sana pweza na nilimwelekeza jamaa yangu aliyekuwa na tatizo hilo akakubali kuwa amepona. Na pia wanaongeza ufahamu ktk ubongo kwani wana madini mengi ya kujenga neva za fahamu.
 
Ni ukweli kabisa, nimekula sana pweza na nilimwelekeza jamaa yangu aliyekuwa na tatizo hilo akakubali kuwa amepona. Na pia wanaongeza ufahamu ktk ubongo kwani wana madini mengi ya kujenga neva za fahamu.

na chaza je?????/
 
Nilikuwa nikisikia na naendelea kusikia kuhusu karanga mbichi na suala hili la nguvu za kiume, ila nilikuja kupata kauli iliyoniridhisha kuwa hazisaidii kuleta nguvu za kiume ila zinasaidia ktk kutengeneza shahawa zenye siha. Pia ktk suala la pweza, makome, kombe, chaza na sea food nyengine huwa nasikia ivyo ivyo. Kiukweli vyote hivyo huwa natumia ila sidhani kama supu za vibandani hasa za bongo zinaweza kuleta athari inayohitajika coz zina uchakachuaji mkubwa ili zitowe faida.
Si mara nyingi kupitisha siku 4 au 5 kama sijapiga bao nikiwa nimelala coz demu sina. Na mara nyengine hufululiza ktk hilo ikiwa tu nitalala huku nimeshiba. May be inatokana na kuwa ni mtumiaji mzuri wa vyakula hivyo. Pia huwa nakula mikia ya pweza hata iliyo mibichi (isiyo pikwa).
Mida, naenda kuchambua karafuu kidogo
 
Duh, kumbe wako kama wewe tz hii,hongera
 


duhhhhhh

tulianza na pweza
tukaja chaza
sasa wewe umekuja na kombe,makome????//
 
na chaza je?????/
Huyo Chaza ndio tumeletewa data zake kimakosa, huyo sio mada yetu hapa. Mada yetu hapa leo ni Pweza.

Asipofuta kauli yake maana yake ni kwamba bado yuko huko mitandaoni anaanjia kupata uthibitisho, maana ombi bado liko wazi:

Naomba chanzo au uthibitisho wa madai kwamba "Pweza wana madini mengi sana ya Zinc."

 

na hao wengine?kombe mokome????unajua chochote?????/
 
Anzisha thread yako ya kuuliza PWEZA WANA MADINI MENGI YA ZINC? otherwise ondoa crap zako unaharibu thread ya mtu mwingine.
 
While oysters contain in average about 180 mg of Zinc per 100g of oysters, octopus contains only 3mg of zinc per 100g
 
While oysters contain in average about 180 mg of Zinc per 100g of oysters, octopus contains only 3mg of zinc per 100g

gaijin hebu tujibu hili

oysters ndio pweza?
na chaza je anaitwaje?????
 
wewe ndie ulianzisha hii thread?
huna mamlaka ya kuzuia watu wasichangie humu....
kuchangia ndio jambo linalotakiwa sana tu, lakini sio kuvuruga thread ya mtu. nasisitiza tena topic hapa ni pweza na nguvu za kiume.
 
duhhhhhh

tulianza na pweza
tukaja chaza
sasa wewe umekuja na kombe,makome????//
Mm nimejaribu tu kuwataja wadogo zake pweza coz naamini ni wageni masikioni na hata machoni kwa baadhi ya watu.
Mm nimejaribu tu kuwataja wadogo zake pweza coz naamini ni wageni masikioni na hata machoni kwa baadhi ya watu.
 
na hao wengine?kombe mokome????unajua chochote?????/
hahahahahaha.....

Kaka, tutaharibu uzi tukiibua ya Kombe na Mokome na wanyama-mikuyati wa aina nyingine yeyote.

Mada yetu hapa ni Pweza na nguvu za kiume. Pweza! Tukaletewa data za kisayansi potofu maana zamhusu mnyama mwingine, lakini mhusika hajafuta kauli yake, hivyo hoja-ombi langu bado liko wazi:

Naomba chanzo au huo uthibitisho wa kisayansi kwamba "Pweza wana madini mengi sana ya Zinc."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…