Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nioneshe sehemu ambayo NN ameuliza chochote.Matola hii imo, NN kaulizia sayansi, na sayansi ndo ivo inataka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nioneshe sehemu ambayo NN ameuliza chochote.Matola hii imo, NN kaulizia sayansi, na sayansi ndo ivo inataka
Ni ukweli kabisa, nimekula sana pweza na nilimwelekeza jamaa yangu aliyekuwa na tatizo hilo akakubali kuwa amepona. Na pia wanaongeza ufahamu ktk ubongo kwani wana madini mengi ya kujenga neva za fahamu.
Topic ni pweza.na chaza je?????/
Duh, kumbe wako kama wewe tz hii,hongeraNilikuwa nikisikia na naendelea kusikia kuhusu karanga mbichi na suala hili la nguvu za kiume, ila nilikuja kupata kauli iliyoniridhisha kuwa hazisaidii kuleta nguvu za kiume ila zinasaidia ktk kutengeneza shahawa zenye siha. Pia ktk suala la pweza, makome, kombe, chaza na sea food nyengine huwa nasikia ivyo ivyo. Kiukweli vyote hivyo huwa natumia ila sidhani kama supu za vibandani hasa za bongo zinaweza kuleta athari inayohitajika coz zina uchakachuaji mkubwa ili zitowe faida.
Si mara nyingi kupitisha siku 4 au 5 kama sijapiga bao nikiwa nimelala coz demu sina. Na mara nyengine hufululiza ktk hilo ikiwa tu nitalala huku nimeshiba. May be inatokana na kuwa ni mtumiaji mzuri wa vyakula hivyo. Pia huwa nakula mikia ya pweza hata iliyo mibichi (isiyo pikwa).
Mida, naenda kuchambua karafuu kidogo
Nilikuwa nikisikia na naendelea kusikia kuhusu karanga mbichi na suala hili la nguvu za kiume, ila nilikuja kupata kauli iliyoniridhisha kuwa hazisaidii kuleta nguvu za kiume ila zinasaidia ktk kutengeneza shahawa zenye siha. Pia ktk suala la pweza, makome, kombe, chaza na sea food nyengine huwa nasikia ivyo ivyo. Kiukweli vyote hivyo huwa natumia ila sidhani kama supu za vibandani hasa za bongo zinaweza kuleta athari inayohitajika coz zina uchakachuaji mkubwa ili zitowe faida.
Si mara nyingi kupitisha siku 4 au 5 kama sijapiga bao nikiwa nimelala coz demu sina. Na mara nyengine hufululiza ktk hilo ikiwa tu nitalala huku nimeshiba. May be inatokana na kuwa ni mtumiaji mzuri wa vyakula hivyo. Pia huwa nakula mikia ya pweza hata iliyo mibichi (isiyo pikwa).
Mida, naenda kuchambua karafuu kidogo
Huyo Chaza ndio tumeletewa data zake kimakosa, huyo sio mada yetu hapa. Mada yetu hapa leo ni Pweza.na chaza je?????/
Huyo Chaza ndio tumeletewa data zake kimakosa, huyo sio mada yetu hapa. Mada yetu hapa leo ni Pweza.
Asipofuta kauli yake maana yake ni kwamba bado yuko huko mitandaoni anaanjia kupata uthibitisho, maana ombi bado liko wazi:
Naomba chanzo au uthibitisho wa madai kwamba "Pweza wana madini mengi sana ya Zinc."
Anzisha thread yako ya kuuliza PWEZA WANA MADINI MENGI YA ZINC? otherwise ondoa crap zako unaharibu thread ya mtu mwingine.Huyo Chaza ndio tumeletewa data zake kimakosa, huyo sio mada yetu hapa. Mada yetu hapa leo ni Pweza.
Asipofuta kauli yake maana yake ni kwamba bado yuko huko mitandaoni anaanjia kupata uthibitisho, maana ombi bado liko wazi:
Naomba chanzo au uthibitisho wa madai kwamba "Pweza wana madini mengi sana ya Zinc."
<br />na chaza je?????/
Mbona ya kawaida tuDuh, kumbe wako kama wewe tz hii,hongera
Anzisha thread yako ya kuuliza PWEZA WANA MADINI MENGI YA ZINC? otherwise ondoa crap zako unaharibu thread ya mtu mwingine.
While oysters contain in average about 180 mg of Zinc per 100g of oysters, octopus contains only 3mg of zinc per 100g
kuchangia ndio jambo linalotakiwa sana tu, lakini sio kuvuruga thread ya mtu. nasisitiza tena topic hapa ni pweza na nguvu za kiume.wewe ndie ulianzisha hii thread?
huna mamlaka ya kuzuia watu wasichangie humu....
Mm nimejaribu tu kuwataja wadogo zake pweza coz naamini ni wageni masikioni na hata machoni kwa baadhi ya watu.duhhhhhh
tulianza na pweza
tukaja chaza
sasa wewe umekuja na kombe,makome????//
hahahahahaha.....na hao wengine?kombe mokome????unajua chochote?????/
octopusy.gaijin hebu tujibu hili
oysters ndio pweza?
na chaza je anaitwaje?????
gaijin hebu tujibu hili
oysters ndio pweza?
na chaza je anaitwaje?????