Supu ya pweza na uwezo wa kimapenzi

mambo haya ni siri ya watumiajiwenyewe. Mimi sihitaji kuongeza nguvu hizo maana nguvu ni kile kitu kinacho nivutia . nasikia hawajamaa wanaongeza viagra na kuzuga kuwa ni supu ya pweza.
 
mambo haya ni siri ya watumiajiwenyewe. Mimi sihitaji kuongeza nguvu hizo maana nguvu ni kile kitu kinacho nivutia . nasikia hawajamaa wanaongeza viagra na kuzuga kuwa ni supu ya pweza.
Unajuwa bei ya Viagra wewe?
 
Matola

Rudi tena shule. Ikiwa hujui kama squid ni ngisi huwezi kamwe kumjua cuttlefish yaani Sepia au Mkizi kwa lugha ya kiswahili

"Cuttlefish is a 'cousin' of squid and octopus" .....google that you just might learn something

Over and out
 
Nguvu za kiume maana yake ni mwanaume kuwa na uwezo wa kupigana na mwanaume mwenzake likitokea bifu!
 
Mkubwa imekuaje tena, si ulisisitiza na kunishambulia kwamba topic ni Pweza!

Nakubali! Nilichanganya madesa (very un-like me!). Pweza siyo Oyster.

But the fact about Oysters and zinc still holds.
 
Mimi nimewahi kusikia hivyo but nakula sana na kunywa supu ila effect yake hakuna.
 
Duuu, was away mchana but nimfuatilia kwakweli. I ve gained some knowledge but hii factor ya zinc ndo kidogo inasumbua. Maana kama hao oysters

ndo wana zinc nyingi basi pweza hamna ki2. Na kuna ki2 wakuu hamjagusia. What exactly do we mean when we say nguvu za kiume? Yanawezaonekana ya kawaida sana but matters a lot. Hii mambo ndo inafanya maisha yaende!
 
Wachangiaji wa nyuzi pamoja na kwamba mmenisaidia kupata elimu but pia mmenichekesha sana, na je kwetu sisi wanawake pweza na chaza hawaleti impact tarajiwa? yani nguvu za kike?
 
kuna sehemu kule changombe karibu na tra utakuta wazee kibao walio retire wana kunywa supu ya pweza, nawaangalia siwamalizi
 
Nakubali! Nilichanganya madesa (very un-like me!). Pweza siyo Oyster.
Nashukuru kwamba umefuta kauli yako.

Pweza hajulikani kisayansi kama aphrodisiac, hasaidii chochote kiume zaidi ya, labda, kuwa na placebo effect.

Nashukuru kwamba umefuta kauli yako.

Pweza hajulikani kisayansi kama aphrodisiac, hasaidii chochote kiume zaidi ya, labda, kuwa na placebo effect.

Kwa hiyo hawa wanaopanga foleni kwenye supu ya pweza tunawasaidiaje?
 
Nashukuru kwamba umefuta kauli yako.

Pweza hajulikani kisayansi kama aphrodisiac, hasaidii chochote kiume zaidi ya, labda, kuwa na placebo effect.

Nilichanganya tu. Ila Oysters ni aphrodisiac ya ukweli na imeshathibitishwa kisayansi. Nadhani nilipitiwa kidogo na huko ndo kulikopelekea kuchanganya madesa. I'm only human.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…