Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Ni maeneo ya Tabata Ijumaa jioni jana, meeting with four old friends. Sasa wakaniconvice tukale Pweza. . I
have never taken it! Dah kwenye hicho kijibanda muuzaji kakata vijipande vidogovidogo, sh 100! Only men
were coming, anadondosha pesa zake anakula pweza wake na supu anachapamwendo!Sasa kuja kuuliza
naambiwa pweza, hasa supu yake ni muhimu sana kwa kuongeza nguvu za kiume! Tena nikaonywa kama sina
mwanamke nisijaribu kula though kwa jana sijaona effect yeyote kwa kweli! Inawezekana mada hii
imeshaletwa hapa but wadau hebu tuambiane, hii mambo inakuwaje? Na mtu anapozungumzia nguvu za
kiume anamaanisha nini hasa? Poweful erection? Sperm Count? Ability to do for a long time bila kuchoka?
Uwezo wa ku impregnant a woman? what does it mean? Tusaidiane wakuu! Nawakilisha.
mambo haya ni siri ya watumiajiwenyewe. Mimi sihitaji kuongeza nguvu hizo maana nguvu ni kile kitu kinacho nivutia . nasikia hawajamaa wanaongeza viagra na kuzuga kuwa ni supu ya pweza.