Tanganyika1
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 423
- 90
mkuu naomba upitie hii site nadhani inaweza saidia kuondoa/kupunguza dukuduku lako.Naomba hiyo source ya kisayansi inayosema "Pweza wana madini mengi sana ya Zinc."

Walipo sema supu ya pweza hawakumaanisha mchuzi, walimaanisha manii... Nenda kamkamue huyo pweza hadi zitoke kisha unywe
Walipo sema supu ya pweza hawakumaanisha mchuzi, walimaanisha manii... Nenda kamkamue huyo pweza hadi zitoke kisha unywe

Kuna ukweli, jaribu kisha uje na matokeo....

me nilikunywa lita moja ya supu na nusu pweza sikuona changes yeyote,ndo ikabidi niulize hapa

mkuu ulitaka uongeze nini katika uwezo wako ulio nao sasa

upo serious au,

deadly serious

nilikuwa nimepanga kumfanyia mtu kitu mbaya,bahat yake

Kwani uwezo si unao wewe ulitaka umkomoe mtu wakati kwa nguvu zako ulikuwa na uwezo huo kaka

uwezo ninao sana tu,sema nlikuwa nataka kuchek kama ile ki2 ipo valid au uzush tu

Mkuu jiamini na hivyo viongezea nguvu hivyo vitakuharibia siku moja ujikute mashine inalala doro
piga viroba vi4 na red bull.............huh,kwishney