Supu ya pweza na uwezo wa kimapenzi

Supu ya pweza na uwezo wa kimapenzi

Walipo sema supu ya pweza hawakumaanisha mchuzi, walimaanisha manii... Nenda kamkamue huyo pweza hadi zitoke kisha unywe
 
Walipo sema supu ya pweza hawakumaanisha mchuzi, walimaanisha manii... Nenda kamkamue huyo pweza hadi zitoke kisha unywe

Bujibuji taratibu
yale yale kila siku haya haya ndo maana wanafikia kutudharau na kusema bila vinyanyulio wanaume wa siku hizi hawana kitu

Ondoa hiyo dhana mawazoni mwako na jiamini kuwa unaweza
 
Kuna ukweli, jaribu kisha uje na matokeo....
 
<br />
<br />
uwezo ninao sana tu,sema nlikuwa nataka kuchek kama ile ki2 ipo valid au uzush tu

Mkuu jiamini na hivyo viongezea nguvu hivyo vitakuharibia siku moja ujikute mashine inalala doro
 
Back
Top Bottom