Kipindi pendwa cha mkuruShilawadu ndo nini kwani?
Kuwa mpole yaani ikibidi kunywa maji bariidi safisha nafsi msumeno umegeukia kwenu acha uwatafune na nyinyiHii nchi imekua ni ya hovyo sana vijana wanahangamia kwa ukosefu wa maarifa yaani Mange ndie amekua mtu wa kuchagua nani afanye na nani asifanye anataka kuogopwa na kwa ugumu wa maisha wa vijana ndio sehemu yao ya kuondolea stress kuchamba watu waliowazidi vipato na elimu.
Ni muda sasa muafaka wa Mh Rais kuruhusu vijana wake wanyooshe nchi hatuwezi kuishi kama kambale hatujui nani mkubwa nani mdogo,nani kiongozi na nani mfuasi sidhani kama Serikali inashindwa kufanya jambo huu ni ujinga wa kiwango cha lami watu wanaamini kauli za Instagram.
Yaani mkuu nilivyochukia mpaka nakosa usingizi.Kuwa mpole yaani ikibidi kunywa maji bariidi safisha nafsi msumeno umegeukia kwenu acha uwatafune na nyinyi
Ulikuwemo kwenye msafala Wa daudi bashite uliovamia pale mlalakuwa ndio maana unajibu hiviTukishaona sura yake then what, tunashiba?
Looks so innocent. Ila atakuwa amesaidia kumaliza utata wa vyeti uliotufikisha katika sintofagamu hii...View attachment 483175Kama alivyoahidi Mwanadada Kiboko ya Uchafu Mange Kimambi hatimaye aanika rasmi sura ya Soudy Brown a.k.a Roboti au Makorokocho
Shilawadu Shilawadu nawaona nawaona.....
Mambo ya umbea umbea mkuuShilawadu ndo nini kwani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu viroba wamezuiaShilawadu namuona namuona anakunywa tuu viroba
Ohoooooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]so hata raisi wako nae mwanamke maana anakipenda kipind cha wambea
Mkuu unachosema ni sawa naunga mkono hoja yakoHii nchi imekua ni ya hovyo sana vijana wanahangamia kwa ukosefu wa maarifa yaani Mange ndie amekua mtu wa kuchagua nani afanye na nani asifanye anataka kuogopwa na kwa ugumu wa maisha wa vijana ndio sehemu yao ya kuondolea stress kuchamba watu waliowazidi vipato na elimu.
Ni muda sasa muafaka wa Mh Rais kuruhusu vijana wake wanyooshe nchi hatuwezi kuishi kama kambale hatujui nani mkubwa nani mdogo,nani kiongozi na nani mfuasi sidhani kama Serikali inashindwa kufanya jambo huu ni ujinga wa kiwango cha lami watu wanaamini kauli za Instagram.
Lengo ni kumdhuru. So in case of anything, mwenye hii id jiandae.Tukishaona sura yake then what, tunashiba?
Ukiona vijana wanayumba ujue wazee hawajaweka mongzo na hawaelewi majukumu yaoHii nchi imekua ni ya hovyo sana vijana wanahangamia kwa ukosefu wa maarifa yaani Mange ndie amekua mtu wa kuchagua nani afanye na nani asifanye anataka kuogopwa na kwa ugumu wa maisha wa vijana ndio sehemu yao ya kuondolea stress kuchamba watu waliowazidi vipato na elimu.
Ni muda sasa muafaka wa Mh Rais kuruhusu vijana wake wanyooshe nchi hatuwezi kuishi kama kambale hatujui nani mkubwa nani mdogo,nani kiongozi na nani mfuasi sidhani kama Serikali inashindwa kufanya jambo huu ni ujinga wa kiwango cha lami watu wanaamini kauli za Instagram.
Miziki mineneHahahaha
Hii Combination ya Gwajima na Mange hata MSN wa Barcelona hawaoni ndani haki.
Saafi kina sudy wakome kuingia kichwa kichwa kwenyw miziki ya wakubwa
Sio Mange tena..Eti atatumbuliwa muda mchache ujao na Gwajimer??[emoji40][emoji40][emoji40]
Muulize Mkuu wa nchiShilawadu ndo nini kwani?