Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

Status
Not open for further replies.
Hii nchi imekua ni ya hovyo sana vijana wanahangamia kwa ukosefu wa maarifa yaani Mange ndie amekua mtu wa kuchagua nani afanye na nani asifanye anataka kuogopwa na kwa ugumu wa maisha wa vijana ndio sehemu yao ya kuondolea stress kuchamba watu waliowazidi vipato na elimu.
Ni muda sasa muafaka wa Mh Rais kuruhusu vijana wake wanyooshe nchi hatuwezi kuishi kama kambale hatujui nani mkubwa nani mdogo,nani kiongozi na nani mfuasi sidhani kama Serikali inashindwa kufanya jambo huu ni ujinga wa kiwango cha lami watu wanaamini kauli za Instagram.
 
Tuna tambua sura sura ya Mysterious huyo Sudi hana Issue
 
Hii nchi imekua ni ya hovyo sana vijana wanahangamia kwa ukosefu wa maarifa yaani Mange ndie amekua mtu wa kuchagua nani afanye na nani asifanye anataka kuogopwa na kwa ugumu wa maisha wa vijana ndio sehemu yao ya kuondolea stress kuchamba watu waliowazidi vipato na elimu.
Ni muda sasa muafaka wa Mh Rais kuruhusu vijana wake wanyooshe nchi hatuwezi kuishi kama kambale hatujui nani mkubwa nani mdogo,nani kiongozi na nani mfuasi sidhani kama Serikali inashindwa kufanya jambo huu ni ujinga wa kiwango cha lami watu wanaamini kauli za Instagram.
Kuwa mpole yaani ikibidi kunywa maji bariidi safisha nafsi msumeno umegeukia kwenu acha uwatafune na nyinyi
 
View attachment 483175Kama alivyoahidi Mwanadada Kiboko ya Uchafu Mange Kimambi hatimaye aanika rasmi sura ya Soudy Brown a.k.a Roboti au Makorokocho

Shilawadu Shilawadu nawaona nawaona.....
Looks so innocent. Ila atakuwa amesaidia kumaliza utata wa vyeti uliotufikisha katika sintofagamu hii...
 
Hii nchi imekua ni ya hovyo sana vijana wanahangamia kwa ukosefu wa maarifa yaani Mange ndie amekua mtu wa kuchagua nani afanye na nani asifanye anataka kuogopwa na kwa ugumu wa maisha wa vijana ndio sehemu yao ya kuondolea stress kuchamba watu waliowazidi vipato na elimu.
Ni muda sasa muafaka wa Mh Rais kuruhusu vijana wake wanyooshe nchi hatuwezi kuishi kama kambale hatujui nani mkubwa nani mdogo,nani kiongozi na nani mfuasi sidhani kama Serikali inashindwa kufanya jambo huu ni ujinga wa kiwango cha lami watu wanaamini kauli za Instagram.
Mkuu unachosema ni sawa naunga mkono hoja yako

Tatizo msimu huu hata viongoz wetu wanapenda sana hiz mambo binafsi nilikwazika kumsikia mr president anakisifia kipind cha shilawadu wakat kuna vipind vingi tu vyenye tija ilikuwaje anafanya vile tena kwa kupiga simu . kuna mambo hayapo sawa

Viongoz wetu nao wabadilike
 
Jamaa huwenda kafanya kipindi kwa sababu ya matakwa ya mabosi wake yeye hawezi kahidi sasa kumshambulia yeye nikama kumuonea.
 
Hii nchi imekua ni ya hovyo sana vijana wanahangamia kwa ukosefu wa maarifa yaani Mange ndie amekua mtu wa kuchagua nani afanye na nani asifanye anataka kuogopwa na kwa ugumu wa maisha wa vijana ndio sehemu yao ya kuondolea stress kuchamba watu waliowazidi vipato na elimu.
Ni muda sasa muafaka wa Mh Rais kuruhusu vijana wake wanyooshe nchi hatuwezi kuishi kama kambale hatujui nani mkubwa nani mdogo,nani kiongozi na nani mfuasi sidhani kama Serikali inashindwa kufanya jambo huu ni ujinga wa kiwango cha lami watu wanaamini kauli za Instagram.
Ukiona vijana wanayumba ujue wazee hawajaweka mongzo na hawaelewi majukumu yao
 
Hiyo sura inatusaidia nini sisi wat?? Akili za watx siku hizi sijui ni nn, akili ndogo kutawala akili kubwa
 
IMG_20170319_063342.JPG
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom