Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

Status
Not open for further replies.
Umetumwa sio bure..huipati n'goooo
 
uwezi kufanikiwa kuficha sura kwa aina ya kazi yake akafanikiwa, siku moja atatumbuliwa
 
Huyu jamaa nilimuona live ile siku ya kwanza ya kwenda kumuhoji Baba yake na DIAMOND halafu ikashindikana, sasa nadhani walijisahau kumvesha mask sasa hivi nikitafuta hiyo clip siioni.
Nami nimeitafuta sasa hivi sijaipata. Walikuwa ktk ile noah nafikiri hakuvaa mask.
 
mimi siwezi kuongea na mtu nisiyrmjua...nawashauri wanaopigiwa simu na huyu jamaa kwenye kipindi chake wawe wanamtolea mbali, hivi inaingia akilini kweli unajibu maswali ya mtu ambaye humjui
 
mimi siwezi kuongea na mtu nisiyrmjua...nawashauri wanaopigiwa simu na huyu jamaa kwenye kipindi chake wawe wanamtolea mbali, hivi inaingia akilini kweli unajibu maswali ya mtu ambaye humjui
wasanii wenyewe ndo wanamtafuta kumuomba awapigie simu...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…