STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
mwanaume Wa JijiniHivyi huyo huwa ni mwanamke au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanaume Wa JijiniHivyi huyo huwa ni mwanamke au?
Umetumwa sio bure..huipati n'gooooTsup.
KWA WASIOMJUA:
Soudy Brown ni Mtangazaji Maarafu Wa Clouds FM katika kipindi cha XXL kwenye sesion ya YOU HEARD.
Tumezoea kuziona picha za huyu jamaa akiwa na Mask usoni.
Yaani jamaa amefanikiwa kiasi kikubwa katika zoezi la kuificha sura yake, Maana kuna mpaka baadhi ya wasanii wakubwa Bongo ambao pia hawamjui
licha ya kwenda mjengoni(clouds) mara kibaao.
SASA WAKUU MWENYE PICHA YA SOUDY BROWN INAYOONYESHA SURA YAKE BILA MASK TUNAOMBA AITUPIE ILI TUMJUE...
Mbona Washkaji wameshamuweka humu? jF sio mtandao wa mchezo mchezoUmetumwa sio bure..huipati n'goooo
Ndoivo, yani huwezi kumdhaniaMbona wa kawaida tu na huwezi amini kama ndiye yeye
Nami nimeitafuta sasa hivi sijaipata. Walikuwa ktk ile noah nafikiri hakuvaa mask.Huyu jamaa nilimuona live ile siku ya kwanza ya kwenda kumuhoji Baba yake na DIAMOND halafu ikashindikana, sasa nadhani walijisahau kumvesha mask sasa hivi nikitafuta hiyo clip siioni.
wasanii wenyewe ndo wanamtafuta kumuomba awapigie simu...mimi siwezi kuongea na mtu nisiyrmjua...nawashauri wanaopigiwa simu na huyu jamaa kwenye kipindi chake wawe wanamtolea mbali, hivi inaingia akilini kweli unajibu maswali ya mtu ambaye humjui
Ethics za utangazaji hana kbsHuyu dogo mpuuuzi sana..
nilijua hii lazima ije
ni wakiume,.....????
Akivua ile mask ana sura nzuri laini na macho melegevu hivi
Kumbe huyu ndo mzee wa shilawadu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona hafananii tumacho tho[emoji7] [emoji7] [emoji8]nilijua hii lazima ije
Kumbe Sudy Brown ni. STURNER ??
Hata me nimeshangaaKumbe mzuri hivo ooh