Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

Status
Not open for further replies.
Umetumwa sio bure..huipati n'goooo
Kwanini hawezi ipata?
Kwamba Soud Brown hana picha za ukumbusho na familia yake, rafiki zake way back... Amezaliwa na Mask pale Clouds?

Kwa ufupi tafuta wimbo wa Itikadi -East Coast utamuona.
 
Tsup.
KWA WASIOMJUA:
Soudy Brown ni Mtangazaji Maarafu Wa Clouds FM katika kipindi cha XXL kwenye sesion ya YOU HEARD.

Tumezoea kuziona picha za huyu jamaa akiwa na Mask usoni.

Yaani jamaa amefanikiwa kiasi kikubwa katika zoezi la kuificha sura yake, Maana kuna mpaka baadhi ya wasanii wakubwa Bongo ambao pia hawamjui
licha ya kwenda mjengoni(clouds) mara kibaao.

SASA WAKUU MWENYE PICHA YA SOUDY BROWN INAYOONYESHA SURA YAKE BILA MASK TUNAOMBA AITUPIE ILI TUMJUE...
Wazo zuri JF hakishindikani kitu mleteni sasa tumuone
 
Habari zenu Wana-JF,

Nimekuwa nikijiuliza hivi sura ya Soud Brown haijulikani au ni mimi tu ambae siijui! Katika pitapita zangu mitandaoni sijawahi kuona picha ya Soud Brown akiwa off mask, so please kama kuna mtu anapicha ya sura yake naomba aitupia hapa nimuone. Najiuliza hivi mambo anayoyafanya kwenye kipindi chake cha SHILAWADU anaendana na sura yake au?[emoji1]

Na je hawa celebrities wa Bongo wanajua sura yake au nao wanajua Jina lake tu na sauti pamoja na Mask tu?

Na vipi huwa anatembea na mask yake muda wote anaokuwa pale studio ya Clouds? Vipi maisha yake nje ya U-SHILAWADU yapoje?

Wajuaji wa mambo karibuni hapa
 
SoudY Brown.jpg


Shilawaduu shilawaduu nakuona nakuonaa unakula tu ubuyuuu...
 
ni jf pekee ndo tuliweka sura yake huyu mtu pitia nyuzi za nyuma utaona.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom