QUEENITOR
Member
- Mar 14, 2014
- 32
- 14
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilivoona Umeanza na title yako nikajua ndo wewe umeileta tumuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilivoona Umeanza na title yako nikajua ndo wewe umeileta tumuone
Nani kasema?Kumbe Sudy Brown ni. STURNER ??
[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
~Cmb
humu hakuna siri asee
Watu wabaya kweli hakuna kinachoshindikana jf
Dah hivi kipindi chake ni siku gani na gani vileHata me nimeshangaa
Kila siku za wiki kuanzia SAA 9 clouds FM kwenye Xxl kuna session yake inaitwa "you heard" na pia de weekend chat show clouds TV kila ijumaaDah hivi kipindi chake ni siku gani na gani vile
Kizazi cha Magufuli hiki...Duh! Umeipata wap hii?
Kwanini hawezi ipata?Umetumwa sio bure..huipati n'goooo
Wazo zuri JF hakishindikani kitu mleteni sasa tumuoneTsup.
KWA WASIOMJUA:
Soudy Brown ni Mtangazaji Maarafu Wa Clouds FM katika kipindi cha XXL kwenye sesion ya YOU HEARD.
Tumezoea kuziona picha za huyu jamaa akiwa na Mask usoni.
Yaani jamaa amefanikiwa kiasi kikubwa katika zoezi la kuificha sura yake, Maana kuna mpaka baadhi ya wasanii wakubwa Bongo ambao pia hawamjui
licha ya kwenda mjengoni(clouds) mara kibaao.
SASA WAKUU MWENYE PICHA YA SOUDY BROWN INAYOONYESHA SURA YAKE BILA MASK TUNAOMBA AITUPIE ILI TUMJUE...
Dogo yupo smart ile ni arts tu ya kazi yake manake ni muandaaji wa vipindi clouds Fm sio mjinga mjinga kama section ya shilawadu ilivyo kaa
Bwana mdogo kabsa! Mbona ana mambo ya ajabu sana?
Bwana mdogo kabsa! Mbona ana mambo ya ajabu sana?
hahahh.. ile ni kazi kama nyingne inayomwingizia kipato nasio umbea bali ni Producer wa kipind cha XxlBwana mdogo kabsa! Mbona ana mambo ya ajabu sana?