Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

Status
Not open for further replies.
mimi siwezi kuongea na mtu nisiyrmjua...nawashauri wanaopigiwa simu na huyu jamaa kwenye kipindi chake wawe wanamtolea mbali, hivi inaingia akilini kweli unajibu maswali ya mtu ambaye humjui
Ndio producer wa kipindi cha XXL
Kama unavyojua XXL ni kipindi bora katika vipindi vya afternoon shows
Wasanii wanamuhusudu sana jamaa
 
Tsup.
KWA WASIOMJUA:
Soudy Brown ni Mtangazaji Maarafu Wa Clouds FM katika kipindi cha XXL kwenye sesion ya YOU HEARD.

Tumezoea kuziona picha za huyu jamaa akiwa na Mask usoni.

Yaani jamaa amefanikiwa kiasi kikubwa katika zoezi la kuificha sura yake, Maana kuna mpaka baadhi ya wasanii wakubwa Bongo ambao pia hawamjui
licha ya kwenda mjengoni(clouds) mara kibaao.

SASA WAKUU MWENYE PICHA YA SOUDY BROWN INAYOONYESHA SURA YAKE BILA MASK TUNAOMBA AITUPIE ILI TUMJUE...
kwa kuongezea Ndo muaandaji wa Xxl
 
blue.jpg


Anaonekana kama ni mshikishwa ukuta....ana dalili zote, umbea, kubana pua, na kushupalia madushe ya wasanii wa nje.
 
najua wengi hatumfaham huyu jamaa anayejulikana kama soudybrown muasisi na anayeendesha kipind cha shilawadu kinachorushwa n la ijumaa kuanzia saa 3 usiku na clouds tv...
0444801ad02e043a3de2cb7cf353f385.jpg

wengi wetu hatumfahamu kutokana na tabia yake ya kuvaa mzura mda wote....mjue sasa
8fa60b9735db0b7335df7db424e1d269.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom