Natokea Kanda Maalum
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 749
- 1,310
Ndio producer wa kipindi cha XXLmimi siwezi kuongea na mtu nisiyrmjua...nawashauri wanaopigiwa simu na huyu jamaa kwenye kipindi chake wawe wanamtolea mbali, hivi inaingia akilini kweli unajibu maswali ya mtu ambaye humjui
Kama unavyojua XXL ni kipindi bora katika vipindi vya afternoon shows
Wasanii wanamuhusudu sana jamaa