Huyu ni mwizi kama wenzi wengineMadaraka hulevya, usimamini mtu isipokuwa Mungu!
Msikilize bashiru Ally kabla ya kuwa na madaraka
View: https://x.com/i/status/1793231455981805944
na baada ya kuwa na madaraka
View: https://youtu.be/uSZFsmy-uQk
Niambie mwanasiasa ambaye si mwizi!Huyu ni mwizi kama wenzi wengine
Huyu wa Cuba yuko humu JF! mwenzetu mzuri sanaNdiye alukuwa mrithi wa Hayati. Urais umemponyoka hivihivi.
You can't imagine he was once one of the most powerful people in this country.
Mwingine yuko Cuba huko unaambiwa kichwa chake kilivyo chepesi kujua lugha geni sasa hivi anatitirika kispanish kama hana akili nzuri.
Cc Pascal Mayalla
Anatumia jina gani kwenye ID?Huyu wa Cuba yuko humu JF! mwenzetu mzuri sana
🤣🤣🤣 maghayo kama maghayo🙌Ndiye alukuwa mrithi wa Hayati. Urais umemponyoka hivihivi.
You can't imagine he was once one of the most powerful people in this country.
Mwingine yuko Cuba huko unaambiwa kichwa chake kilivyo chepesi kujua lugha geni sasa hivi anatitirika kispanish kama hana akili nzuri.
Cc Pascal Mayalla
mimiNiambie mwanasiasa ambaye si mwizi!
😳🙄Anatumia jina gani kwenye ID?
Huyu amezidiNiambie mwanasiasa ambaye si mwizi!
Wanatofautiana asee, mfano Lissu anaipenda sn nchi akeWanasiasa bongo woote ni wachumia tumbo, hakuna mwanasiasa anaepiga kelele kwa sababu anaipenda sana tanzania, wote ni wanataka KULA tu.
ukweli ndio huu incumbency advantage, watasubiri sanaMadaraka hulevya, usimamini mtu isipokuwa Mungu!
Msikilize bashiru Ally kabla ya kuwa na madaraka
View: https://x.com/i/status/1793231455981805944
na baada ya kuwa na madaraka
View: https://youtu.be/uSZFsmy-uQk
patriot mbowe anaipenda zaid nchi, na ana kubalika zaidi chadema benWanatofautiana asee, mfano Lissu anaipenda sn nchi ake
Amepoozwa vuti maalum,ili asukumwe nje mazimaBashiru hafai hata kidogo