- Thread starter
- #21
rules za JF zinakataza ku identify mtu. Nitafungiwa milele. Simjui kuwa nimemuona, bati under irresistible inference he is the one!Anatumia jina gani kwenye ID?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rules za JF zinakataza ku identify mtu. Nitafungiwa milele. Simjui kuwa nimemuona, bati under irresistible inference he is the one!Anatumia jina gani kwenye ID?
Madaraka hulevya, usimamini mtu isipokuwa Mungu!
Msikilize bashiru Ally kabla ya kuwa na madaraka
View: https://x.com/i/status/1793231455981805944
na baada ya kuwa na madaraka
View: https://youtu.be/uSZFsmy-uQk
Kweli jamaa ni mzalendo sn kwa nchi ake tofauti na majangili ya CCMpatriot mbowe anaipenda zaid nchi, na ana kubalika zaidi chadema ben![]()
Siyo wote! Kuna watu Jiwe alitaka kuwahonga billions of Tsh wakakataa! wapo, siyo woteWanasiasa bongo woote ni wachumia tumbo, hakuna mwanasiasa anaepiga kelele kwa sababu anaipenda sana tanzania, wote ni wanataka KULA tu.
Akipata madaraka tutaiona rangi yake halisiWanatofautiana asee, mfano Lissu anaipenda sn nchi ake
Basi ni 99%Siyo wote! Kuna watu Jiwe alitaka kuwahonga billions of Tsh wakakataa! wapo, siyo wote
The issue is, before attaining the reigns of power, he was portraying himself as a true democratic guy, only to find that it was because of an empty alimentary canal!Yote kwa yote amesema ukweli bhn ukiwa na dola halaf ukatok madarakn kizembe bila ya kutumia iyo dola kubaki madarakani utakua ni uzembe mkubwa sana 🤣
correct!Basi ni 99%
Mfumo umemkataaAmepoozwa vuti maalum,ili asukumwe nje mazima
Matendo ya mtu nayo husadifu tabia akeAkipata madaraka tutaiona rangi yake halisi
Asante kuni tag Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025Ndiye alukuwa mrithi wa Hayati. Urais umemponyoka hivihivi.
You can't imagine he was once one of the most powerful people in this country.
Mwingine yuko Cuba huko unaambiwa kichwa chake kilivyo chepesi kujua lugha geni sasa hivi anatitirika kispanish kama hana akili nzuri.
Cc Pascal Mayalla
MagufuliNiambie mwanasiasa ambaye si mwizi!
Sawa na kusema Al Capone alikuwa mtakatifu!Magufuli