Sura Mbili za Kabudi; Akiwa Bungeni kama mbabe, akiwa kwa mabeberu kama omba omba

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Ukimsikiliza kwenye video clip hapo anasema Tanzania haiwezi kumpigia magoti beberu. Bunge la mwaka 2019;

Jana alikuwa huko Ubeberuni kumpigia magoti Under Secretary Of State Tibor Nagy ili kuboresha mazingira ya biashara na usalama, kwa ahadi ya fair and free elections.

My Take:
Prof Kabudi yuko kama yule Msemaji wa Saddam Hussein wakati wa vita vya ghuba 2003,Mohammed Saeed al-Sahaf. Tusimchukulie serious

Screenshot_20200307-101227_Twitter.jpg
 
Sababu ni moja kubwa, ili kwenda sambamba na mtu kama Lema au Sugu au CHADEMA kwa ujumla unatakiwa uwe mbabe sana bila hivyo Mambo hayataenda.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😝
Sijawahi kuona waziri kizabzabina kama huyu
Halafu ana CV nzuri sana na ni mmoja kati ya Wadhamini na Wazee wa kuaminika kwa Kanisa la Ki-Anglikana Tanzania.
 
Halafu huyu Kabudi huwa ana mpoteza Mh. Rais, sidhani kama alistahili hii nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli anampoteza kwa sababu anapenda kushauri kumridhisha. Ni vyema umuambie mtu msimamo na ukweli wako ili achague kuufuata au kama hautaki nawe ukae pembeni.
 
Anaitumia vibaya nafasi yake ya kuaminiwa na Rais. Anamshauri mambo ambayo hayapo katika Ulimwengu huu, kiasi cha kumtia aibu mh. Rais.
 
Ushaambiwa kuwa katolewa jalalani
Ukimsikiliza kwenye video clip hapo anasema Tanzania haiwezi kumpigia magoti beberu. Bunge la mwaka 2019;

Jana alikuwa huko Ubeberuni kumpigia magoti Under Secretary Of State Tibor Nagy ili kuboresha mazingira ya biashara na usalama, kwa ahadi ya fair and free elections.

My Take:
Prof Kabudi yuko kama yule Msemaji wa Saddam Hussein wakati wa vita vya ghuba 2003,Mohammed Saeed al-Sahaf. Tusimchukulie serious
View attachment 1379858
View attachment 1379876

In God we Trust
 
Kwenye chafuzi zilizo pita hatukuwahi kujitetea kwa kuhaidi kuwa tutafanya uchafuzi huru na haki, lkn pia hatukuwahi kuandamwa juu ya hilo kama ilivyo sasa hivi. Hivi jiwe et-al wanajiuliza juu ya hili?
 
Back
Top Bottom