Sura Mbili za Kabudi; Akiwa Bungeni kama mbabe, akiwa kwa mabeberu kama omba omba

Ukimsikiliza kwenye video clip hapo anasema Tanzania haiwezi kumpigia magoti beberu. Bunge la mwaka 2019;

Jana alikuwa huko Ubeberuni kumpigia magoti Under Secretary Of State Tibor Nagy ili kuboresha mazingira ya biashara na usalama, kwa ahadi ya fair and free elections.

My Take:
Prof Kabudi yuko kama yule Msemaji wa Saddam Hussein wakati wa vita vya ghuba 2003,Mohammed Saeed al-Sahaf. Tusimchukulie serious
View attachment 1379858
View attachment 1379876
Nimeshasahau nilichotaka ku type mwanzoni

Ila huyo jamaa ni mshamba tu
 
Ukimsikiliza kwenye video clip hapo anasema Tanzania haiwezi kumpigia magoti beberu. Bunge la mwaka 2019;

Jana alikuwa huko Ubeberuni kumpigia magoti Under Secretary Of State Tibor Nagy ili kuboresha mazingira ya biashara na usalama, kwa ahadi ya fair and free elections.

My Take:
Prof Kabudi yuko kama yule Msemaji wa Saddam Hussein wakati wa vita vya ghuba 2003,Mohammed Saeed al-Sahaf. Tusimchukulie serious
View attachment 1379858
Kweli huyu Prof Kabudi tulipigwa kabisa. Ni MWONGO sana hasa akiwasha yale macho yake. Jana kadanganya tena kuwa Tanganyika haikuwa na Wakili mzawa kabla ya uhuru. Jaji Samata akajibu kuwa walikuwapo wawili including Juma Mawalla
 
2025 ni mbali sana kwa Kabudi angeomba kyrudi majalalani kwake alikozoea
 
Kweli huyu Prof Kabudi tulipigwa kabisa. Ni MWONGO sana hasa akiwasha yale macho yake. Jana kadanganya tena kuwa Tanganyika haikuwa na Wakili mzawa kabla ya uhuru. Jaji Samata akajibu kuwa walikuwapo wawili including Juma Mawalla
IMG-20211008-WA0068.jpg
 
Back
Top Bottom