Sura Mbili za Kabudi; Akiwa Bungeni kama mbabe, akiwa kwa mabeberu kama omba omba

Sura Mbili za Kabudi; Akiwa Bungeni kama mbabe, akiwa kwa mabeberu kama omba omba

Kuna msemo unasema ukiwa mwongo usiwe msahaulifu. Kabudi amesahau kabisa alivyosema mwaka jana.
Wazungu wakitoa misaada na mikopo tunapokea au wakati mwingine tunaenda kuwaomba wakitupa tunawaita na kuwatambua kuwa Ni nchi wafadhiri,na Ni nchi Marafiki.

Wazungu wakitukosoa na kuwataka viongozi wa CCM wawatendee vema Vyama vya upinzani na wakosoaji wa CCM hutajwa na kuitwa kuwa ni Mabeberu.

Beberu = Mfadhiri,rafiki.

Inategemea haya majina unayatumia wapi na wakati gani.
 
Anaitumia vibaya nafasi yake ya kuaminiwa na Rais. Anamshauri mambo ambayo hayapo katika Ulimwengu huu, kiasi cha kumtia aibu mh. Rais.
Nahisi ni uwoga. Kila anachotaka Rais yeye anakubali badala ya kumkatalia
 
Kwenye chafuzi zilizo pita hatukuwahi kujitetea kwa kuhaidi kuwa tutafanya uchafuzi huru na haki, lkn pia hatukuwahi kuandamwa juu ya hilo kama ilivyo sasa hivi. Hivi jiwe et-al wanajiuliza juu ya hili?
Tulifanya makosa makubwa sana mwaka 2015. Naamini hata akina JK, BWM na wana CCM asilia wanajuta sana.
 
Wazungu wakitoa misaada na mikopo tunapokea au wakati mwingine tunaenda kuwaomba wakitupa tunawaita na kuwatambua kuwa Ni nchi wafadhiri,na Ni nchi Marafiki.

Wazungu wakitukosoa na kuwataka viongozi wa CCM wawatendee vema Vyama vya upinzani na wakosoaji wa CCM hutajwa na kuitwa kuwa ni Mabeberu.

Beberu = Mfadhiri,rafiki.

Inategemea haya majina unayatumia wapi na wakati gani.
Na hapo ndipo najiuliza huyu wa Prof Kabudi ndiyo yule wa UDSM na Baraza la Katiba kweli?

Isije ikawa Wachina wamem- clone, wakamchukua yule mwenye GPA 5.0 ya LLB ya LLB ya UDSM wakatuletea hili zezeta
 
Ila Prof. Kabudi anaongea kwa kujiamini sana hapo Bungeni aisee. Ukimwangalia anavyoongea, maneno yake (kushinda vita nyingi, kutoomba misada) na kugonga kwake meza (kuonesha msisitizo) unaweza ukafikiri kuwa taifa letu ndio US (super power).
Ikitokea wakakutana Kabudi wa Tume ya Jaji Warioba na Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje wa Awamu ya 5 watapigana vibaya sana.
 
Sababu ni moja kubwa, ili kwenda sambamba na mtu kama Lema au Sugu au CHADEMA kwa ujumla unatakiwa uwe mbabe sana bila hivyo Mambo hayataenda.
Mnalalaga mnaiota chadema ndo maana hata kama watu wanajadili nshu tofauti wewe unaweweseka na CDM!
Mkiambiwa Lumumba mmejajaza ma-popoma mnaanza kulialia.
Ovyooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Prof. Kabudi anaongea kwa kujiamini sana hapo Bungeni aisee. Ukimwangalia anavyoongea, maneno yake (kushinda vita nyingi, kutoomba misada) na kugonga kwake meza (kuonesha msisitizo) unaweza ukafikiri kuwa taifa letu ndio US (super power).
Anavyojua kuongea na kujenga hoja kwa suala husika namkubali sana, kaka msomi kabudi.
 
Ukimsikiliza kwenye video clip hapo anasema Tanzania haiwezi kumpigia magoti beberu. Bunge la mwaka 2019;

Jana alikuwa huko Ubeberuni kumpigia magoti Under Secretary Of State Tibor Nagy ili kuboresha mazingira ya biashara na usalama, kwa ahadi ya fair and free elections.

My Take:
Prof Kabudi yuko kama yule Msemaji wa Saddam Hussein wakati wa vita vya ghuba 2003,Mohammed Saeed al-Sahaf. Tusimchukulie serious
View attachment 1379858
View attachment 1379876
Wapeleke picha, tabasamu au wajichekeshe ........... Naona Mabeberu wameamua kukomaa na kushikilia hapo hapo "FREE and FAIR ELECTION"
 
Iko siku watu watakuja kufanya tafiti kutusu visababishi vya hulka ya undumila kuwili
 
Back
Top Bottom