Watu dizaini hii hata Corona inawaogopaHalafu ana CV nzuri sana na ni mmoja kati ya Wadhamini na Wazee wa kuaminika kwa Kanisa la Ki-Anglikana Tanzania.
Halafu huyu Kabudi huwa ana mpoteza Mh. Rais, sidhani kama alistahili hii nafasi.Kuna msemo unasema ukiwa mwongo usiwe msahaulifu. Kabudi amesahau kabisa alivyosema mwaka jana.
Kwa kweli anampoteza kwa sababu anapenda kushauri kumridhisha. Ni vyema umuambie mtu msimamo na ukweli wako ili achague kuufuata au kama hautaki nawe ukae pembeni.Halafu huyu Kabudi huwa ana mpoteza Mh. Rais, sidhani kama alistahili hii nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena mnafiki hakuna tena[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji13]
Sijawahi kuona waziri kizabzabina kama huyu
Kumbe ni muinglikana! Nilidhani ni Lutheran.Halafu ana CV nzuri sana na ni mmoja kati ya Wadhamini na Wazee wa kuaminika kwa Kanisa la Ki-Anglikana Tanzania.
Anaitumia vibaya nafasi yake ya kuaminiwa na Rais. Anamshauri mambo ambayo hayapo katika Ulimwengu huu, kiasi cha kumtia aibu mh. Rais.Kwa kweli anampoteza kwa sababu anapenda kushauri kumridhisha. Ni vyema umuambie mtu msimamo na ukweli wako ili achague kuufuata au kama hautaki nawe ukae pembeni.
Ukimsikiliza kwenye video clip hapo anasema Tanzania haiwezi kumpigia magoti beberu. Bunge la mwaka 2019;
Jana alikuwa huko Ubeberuni kumpigia magoti Under Secretary Of State Tibor Nagy ili kuboresha mazingira ya biashara na usalama, kwa ahadi ya fair and free elections.
My Take:
Prof Kabudi yuko kama yule Msemaji wa Saddam Hussein wakati wa vita vya ghuba 2003,Mohammed Saeed al-Sahaf. Tusimchukulie serious
View attachment 1379858
View attachment 1379876
Hayo mengine hayatuhusu ilmradi mambo yanaenda vizuri.
Kwenye chafuzi zilizo pita hatukuwahi kujitetea kwa kuhaidi kuwa tutafanya uchafuzi huru na haki, lkn pia hatukuwahi kuandamwa juu ya hilo kama ilivyo sasa hivi. Hivi jiwe et-al wanajiuliza juu ya hili?Ukimsikiliza kwenye video clip hapo anasema Tanzania haiwezi kumpigia magoti beberu. Bunge la mwaka 2019;
Jana alikuwa huko Ubeberuni kumpigia magoti Under Secretary Of State Tibor Nagy ili kuboresha mazingira ya biashara na usalama, kwa ahadi ya fair and free elections.
My Take:
Prof Kabudi yuko kama yule Msemaji wa Saddam Hussein wakati wa vita vya ghuba 2003,Mohammed Saeed al-Sahaf. Tusimchukulie serious
View attachment 1379858
View attachment 1379876
shemeji mke wa pili wa lisu kumbe upo🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😝
Sijawahi kuona waziri kizabzabina kama huyu