DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
AhaaaWastaafu wa cheo chake cha katibu mkuu kiongozi wanahudumiwa na serikali bila shaka.
Hii ndiyo adverse effect maana yakeMajuto ni mjukuu na malipo ni hapa hapa ameanza kuona uovu alioupanda ukipingwa kwa No reform no election anabaki kuumia tu.
Sura huwa inazungumza.
Ukimtazama Bashiru
Anafikiria alivyoharibu demokrasia kuhasisi mambo ya kupita bila kupingwa
Anafikiria ule mchakato wake wa wabunge na madiwani wa chadema kuhama na kuunga mkono juhudi.
Na anafikiria je agombee ubunge pale Bukoba vijjini je atatoboa ?
Wabunge wa ccm asilimia kubwa walirudi bungeni kwa nguvu ya Bashiru
Je asubiri uteuzi?
Je asipopata uteuzi arudi UDSM kuandaa Modules.
Hakika Bashiru ulijisahau Sana na unaenda kuwa underutilized
Aliingia chaka bunge la mambumbumbu naye akawa sehemu yaoSura huwa inazungumza.
Ukimtazama Bashiru
Anafikiria alivyoharibu demokrasia kuhasisi mambo ya kupita bila kupingwa
Anafikiria ule mchakato wake wa wabunge na madiwani wa chadema kuhama na kuunga mkono juhudi.
Na anafikiria je agombee ubunge pale Bukoba vijjini je atatoboa ?
Wabunge wa ccm asilimia kubwa walirudi bungeni kwa nguvu ya Bashiru
Je asubiri uteuzi?
Je asipopata uteuzi arudi UDSM kuandaa Modules.
Hakika Bashiru ulijisahau Sana na unaenda kuwa underutilized
That snake was so evil and poisonous to the Jiwe's regime. Huyu hakupaswa kupewa yale madaraka mpuuzi sana hawa ndio walianzisha ushenzi wa kuteka na kuua watu wenye mawazo yanayopingana na matakwa yao.Sura huwa inazungumza.
Ukimtazama Bashiru
Anafikiria alivyoharibu demokrasia kuhasisi mambo ya kupita bila kupingwa
Anafikiria ule mchakato wake wa wabunge na madiwani wa chadema kuhama na kuunga mkono juhudi.
Na anafikiria je agombee ubunge pale Bukoba vijjini je atatoboa ?
Wabunge wa ccm asilimia kubwa walirudi bungeni kwa nguvu ya Bashiru
Je asubiri uteuzi?
Je asipopata uteuzi arudi UDSM kuandaa Modules.
Hakika Bashiru ulijisahau Sana na unaenda kuwa underutilized
View attachment 3347499