PIUS PASTORY
Member
- Aug 22, 2025
- 36
- 18
Sura ya ndugu Hamphrey Polepole yaonyesha udharirishaji wa hali ya juu kwa taifa lake na watu wa Aina hii uzalendo huwa unawashinda.
Ushauri wangu kwa watanzania wote mjibuni Polepole kwa hoja ili atambue kipindi Kabla hajajivua madaraka alikuwa miongoni mwa hawa anaowadharirisha. Penda taifa lako kwa uzalendo wa hali ya juu sana.
#haijapatakutokea
#kurayakwanzakwasamia