Sura ya Utekaji wa Djumbe: Siri ya 'Roho ya Lissu' na Ngao ya Kiroho Iliyomlinda Msaidizi Wake

Maisha ya Tundu Lissu yanadhihirisha Nguvu ,matendo na uwepo wa Mungu katika maisha yetu. Tundu Lissu ni mpango wa Mungu juu ya mukstakbar wa Tanganyika.
 
Maisha ya Tundu Lissu yanadhihirisha Nguvu ,matendo na uwepo wa Mungu katika maisha yetu. Tundu Lissu ni mpango wa Mungu juu ya mukstakbar wa Tanganyika.
Maisha ya mwanasiasa Tundu Lissu yanatazamwa na watu wengi kama kielelezo kikubwa cha ustahimilivu na muujiza kutokana na matukio mazito aliyopitia na kunusurika.

Mtazamo wako unashirikisha hisia za watu wengi wanaomini kuwa kunusurika kwake kwenye jaribio la mauaji ya risasi mwaka 2017 ni uthibitisho wa ulinzi wa Kiungu na kwamba ana wajibu maalum wa kihistoria kwa mustakabali wa nchi.Kuhusu nafasi yake katika siasa na mustakabali wa taifa, kuna mitazamo mbalimbali inayochora picha kamili ya jinsi anavyochukuliwa katika jamii:
 
Nguvu ya kiroho iliyomwokoa Lissu ndio Ile Ile iliyomwokoa Djumbe
 
Tujikumbushe na yule dereva wake kipindi anapigwa risasi mwaka ule
Yule dereva hakupata madhara kabisa

LISU ni rais ajaye wa Tz, katiba mpya ndio funguo ya kuwatoa CCM madarakani
NRNE ni maono ya Lisu
 
Tujikumbushe na yule dereva wake kipindi anapigwa risasi mwaka ule
Yule dereva hakupata madhara kabisa

LISU ni rais ajaye wa Tz, katiba mpya ndio funguo ya kuwatoa CCM madarakani
NRNE ni maono ya Lisu
Mapaka kusudi la Mungu litimie ndio atamuondoa else yupo sana tu
 
Hiyo ni michezo- Mwigulu
Once said “THE DARKEST HOURS IS JUST BEFORE THE DOWN “
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…