Sura za kurogea watu na kufanyia ushirikina

Hii inaonyesha hiki kitabu ni cha nani Kati ya Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo au ni yule aliyetupwa kuzimu yaani Shetani
 
Ingelikuwa ni kweli kule:-
  • Iraq
  • Iran
  • Afghanistan
  • Libya
  • wote wanaoteseka kwa chuki za watu n.k
Wangefanya jambo
 
Wapi Kuna dhihaka ,kejeli?

Kwani kilichosemwa hapo ni uongo?

Mbona Ukristo unajadiliwa humu sana na hatuoni wakristo wakilalamika kama wewe
Mkuu wakristo wanatukana 24/7 uslam humu kingine inaonesha wazi uslam umeusoma sijui umeutoa wapi pitia surat jinn vzr uje na tafsir, hayo mengine ni shiriki uslam umekataza
 
Kitu chenye madhara zaidi ni haramu kufanya so ni haram
 
Muache aseme Ukweli bro.

Au kadanganya hapo?.
Ww hujawah ona nazi imeandikwa Kiarabu?. Ni kweli kuna Al badir. Na ni kweli kuna hizi raqah.

Ni vitu viko.
Al badir ni ushirikina kama wanavyo fanya wachungaji na vitambaa vyeupe makanisani
 
endelea kuzungumzia mambo ya dini, huwa hayana maana popote pale , mimi ni muislamu lakini walionibeba mpaka kunifikisha hapa asilimia kubwa ni wakiristo nimesoma kidato cha sita shule ya waluteli, chuo nimesomea cha waluteli moshi kilimanjaro.
So ulisoma bure ama ulilipa Ada
 
Huyu Hamis ako na hasira saana na uslam na mbaya zaidi vitu anavyo tafuta havipo katika uslam anavisoma kutoka kwa waganga akasome bible vzr kuna uchawi live mule
 
Huyu Hamis ako na hasira saana na uslam na mbaya zaidi vitu anavyo tafuta havipo katika uslam anavisoma kutoka kwa waganga akasome bible vzr kuna uchawi live mule
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu wakristo wanatukana 24/7 uslam humu kingine inaonesha wazi uslam umeusoma sijui umeutoa wapi pitia surat jinn vzr uje na tafsir, hayo mengine ni shiriki uslam umekataza
Tofaut kati ya ushirikina na uislamu ni ndogo sana
 
Alafu wakristo wengi sana wakizidiwa na tiba za kiroho huwafata hao mashekh kupata tiba kuna mama mmoja alikuwa anajilaumu kapoteza laki 8 kwa mwamposa bila mafanikio ila kampa shekh elfu 50 tu na tatizo lake likapona ni mama mmoja wa kikatoliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…