Sura za kurogea watu na kufanyia ushirikina

Context ya mada sio watu wa dini fulani kuwa/kutokuwa wachawi huo uamuzi wa mtu bali uchawi kuhalalishwa kwenye uislamu kupitia kitabu chao cha dini na hata mawaidha ya masheikh wenu yanaakisi ujumbe wa mtoa mada!
We taahira torat na zaburi pia zinatumika kwenye uchawi kwahyo Mungu ndo kahalalisha au watu tu wanajiongeza?
 
Ushawahi kusikia kitu kinaitwa Ruqyah?,

Ingawa Waislamu wanadai Ruqyah ni njia ya "kukinga na sihirk", ukweli mchungu ni kwamba sehemu kubwa ya sura zinazotumika (kama Surah Al-Falaq, An-Nas, Ayatul Kursi,Surah Al- Jinn) zinasomwa kwa nia ya kuwasiliana na ulimwengu wa majini.

Mfano,Surah Al-Jinn (Qur’an 72) inasimulia jinsi majini walivyosikiliza Qur’an na kuteka mafundisho. Leo hii, wachawi wengi wa Kiislamu wanatumia aya hizo kwa kujua kuwa majini huelewa lugha hiyo na hujibu miito yao.
View attachment 3426640

“Na tulipomuelekea kwako kundi la majini, kusikiliza Qur’an…” (Qur’an 46:29)

Hii ni hoja hatari sana, kama majini wanaweza kuelekea na kusikiliza Qur’an,

je, si inamaanisha kuwa Qur’an inaweza kuwa mlango wa kuitana kati ya binadamu na majini?

Tuangalie Albadir na Kuomba Mabaya Kupitia Qur’an

Licha ya madai kuwa Ruqyah ni kinga tu, katika vitendo, Waislamu wengi hutumia aya hizo kuomba madhara kwa adui, kulipiza kisasi, au kuleta balaa.

Mfano halisi ni "Albadir", sala maalum inayosomwa kwa kumdhuru mtu. Kuna dua zinazotumia.

Suratul Falaq na An-Nas zikisomwa kwa nia ya kupeleka jinni amtese adui

Aya ya Qur’an 21:69 ("Ewe moto, kuwa baridi kwa Ibrahim") ikigeuzwa kinyume – kuleta joto kwa adui

Surah Taha 69 kuhusu Harut & Marut ikisomwa kwa kutumia “majina ya malaika wa uchawi” ili kufungua mlango wa roho mbaya
View attachment 3426641

➡️ Hii ni dhambi ya kuchanganya maandiko ya kidini na uchawi wa kishetani sawa kabisa na giza lililokatazwa katika Biblia (Kumb. 18:10-12).

🥥 Kombe, Nazi, na Maneno ya Kiarabu ni Uchawi wa Vifaa unaotumika sana

Katika maeneo mengi ya Afrika na Mashariki ya Kati, uchawi wa Kiislamu umetapakaa kupitia

📜 Kombe:

Kombe la glasi hujazwa maji, kisha aya za Qur’an huandikwa kwenye karatasi au kombe lenyewe. Sheikh anasoma Ruqyah juu yake, kisha mgonjwa au mteja huambiwa anywe maji hayo au ajipake. Mara nyingine hutumika kuonyesha picha ya adui kupitia kivuli.
View attachment 3426644

🥥 Nazi:

Hugawanywa vipande vinne au saba, huandikwa majina ya mtu, aya za laana, au majina ya majini kisha kuzikwa, kuchomwa moto, au kutupwa usiku kwa “madhara.”
➡️ Huu ni uganga uliosafishwa na jina la Qur’an!

View attachment 3426646
View attachment 3426647

✍️ Maneno ya Kiarabu:

Katika hirizi, vitambaa, nazi, n.k. huandikwa kwa kalamu surah ya Qur’an, majina ya malaika, na maandiko ya kisiri yanayojulikana na wachache. Mchanganyiko huu huitwa "talasim" (magic squares au maneno yaliyofichwa).
View attachment 3426648
➡️ Hili ni sawa na hirizi ya kishirikina. Inashangaza kuwa Uislamu unaruhusu uandishi wa Qur’an kwenye vitu vya kunywa au kuvaa.

Kuna Vitabu Vinavyofundisha Uganga kwa Kivuli cha Dini

Vitabu vya wanazuoni wa Kiislamu vingi vimejaa mafundisho ya Ruqyah ya kishirikina, mfano

Shams al-Ma'arif (Sun of Knowledge) – kitabu maarufu cha Kiislamu kinachofundisha uchawi, majina ya majini, talismans

Al-Buni's Magic Squares – chati za kutumia aya kwa kuleta pesa, mahaba, au madhara

Hisnul Muslim – ingawa ni kitabu cha dua, kinatumika kama kitabu cha uchawi wa ki-Qur’ani kwa wasioelewa kiroho

Manabii wa kiyahudi waliotumwa na YEHOVA kupitia Biblia wanakataa Matendo Haya ya “Kiroho”

“Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake motoni, wala asiyetabiri kwa kutumia wachawi au mizimu.”
(Kumbukumbu 18:10-12)

“Mungu ni Roho; nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.”(Yohana 4:24)

Tofauti na Qur’an inayotumika kama maneno yenye nguvu za ajabu, Biblia inafundisha kwamba nguvu ya kweli inatoka kwa Mungu mwenyewe, si kwa maneno yanayorudiwa kisiri.

Yesu na mitume na manabii haakuwahi kutumia majina ya siri, nazi, wala maandishi ya kisiri.

Yesu alifukuza pepo kwa mamlaka isiyotegemea zana za kidini.

Ruqyah, pamoja na “Aya za Kinga”, ni mfumo wa uganga wa kisasa uliojificha nyuma ya maandiko matakatifu. Hutumiwa:

Kuitana na majini

Kufunga au kulaani adui

Kutengeneza hirizi, maji, nazi, na vyombo vya uchawi

Kupitisha imani za giza chini ya kivuli cha dini

➡️ Hii si ibada ya kweli. Ni ushirikina uliopakwa rangi ya Uungu.

Aya hizi zinaweza kuonekana kama zinazungumzia dhambi ya asili, lakini tukizisoma kwa makini, zinaelezea tu adhabu za kidunia na si kitu kingine.

Ni wapi katika Biblia imeandikwa kuwa mwanadamu amepangiwa laana ya milele kwa sababu ya dhambi aliyorithi?

Ni wapi Biblia inasema kuwa kusudi la Yesu lilikuwa kufuta alichokifanya Adamu?

Yohana 1:29
Siku ya pili, Yohana akamwona Yesu akimjia, akasema, “Tazama Mwana-Kondoo wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu.”

Manabii hutumwa na Mungu kama vielelezo vya ujumbe wanaouleta. Manabii hutumwa kuwaongoza wanadamu katika njia sahihi na kuwaepusha na maisha ya dhambi. Hivyo basi, Yesu anaondoa dhambi kwa kuwaongoza watu na kuwaonyesha njia ya haki. Zaidi ya hayo, Yesu mwenyewe hakusema maneno haya – ni Yohana aliyesema.

Warumi 5:12
“Kwa hiyo, kama kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, na kwa dhambi hiyo mauti, na hivyo mauti ikawafikia watu wote, kwa sababu wote wamefanya dhambi—”

Warumi 5:19
“Kwa sababu ya kosa la mtu mmoja watu wengi walifanywa wenye dhambi...”

Aya hizi zinasema kuwa kwa sababu ya dhambi ya Adamu, mauti ilikuwepo. Lakini haizungumzii mauti ya milele bali kifo cha kidunia. Tafsiri hii ndio inayofaa; vinginevyo, kuna mgongano na aya zifuatazo:

Yeremia 31:29–30
“Siku zile hawatasema tena, Baba wamekula zabibu kali, na meno ya watoto wao yamekwashwa. Lakini kila mtu atakufa kwa ajili ya uovu wake mwenyewe; kila mtu anayekula zabibu kali, meno yake mwenyewe yatakwashwa.”

Ezekieli 18:4
“Tazama, roho zote ni mali yangu; roho itendayo dhambi, hiyo itakufa.”

Ezekieli 18:20
“Roho itendayo dhambi, hiyo itakufa.”

Kumbukumbu la Torati 24:16
“Baba hawatauawa kwa ajili ya watoto, wala watoto hawatauawa kwa ajili ya baba zao; kila mtu atauawa kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.”

Kifo kinachozungumziwa ni kifo cha duniani na si adhabu ya kuzimu.

Methali 20:9
“Ni nani awezaye kusema, ‘Nimekisafisha moyo wangu, mimi ni safi kwa dhambi yangu?’”

Njia ya kujitakasa kutokana na dhambi ni kwa kusafisha moyo, si kwa kuamini kusulubiwa au Utatu.

Zaburi 51:5
“Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu; mama yangu alinichukua mimba katika dhambi.”

Aya hii inahitaji kusomwa katika muktadha wake ili kueleweka vizuri:

Zaburi 51:1–4

Ee Mungu, unirehemu kwa wema wako; kwa wingi wa huruma zako, uyafute makosa yangu.
Nisafishe kabisa na uovu wangu, unitakase na dhambi yangu.
Kwa maana nakiri makosa yangu; dhambi yangu iko mbele yangu daima.
Nimekutenda dhambi, Ee Mungu, peke yako, nami nimefanya yaliyo mabaya mbele zako...

Tukisoma kwa muktadha, tunaona kuwa msemaji wa maneno haya alikuwa mwenye dhambi mwenyewe – angalia aya ya 3 na 5. Hii inaonyesha kuwa anazungumzia dhambi zake binafsi zilizotangulia.

Nathani alitoka kwa mke wa Haruni ambaye alikuwa kizazi cha tano cha mtoto wa haramu wa Yuda. Biblia inasema sheria ya Mungu ilikataza watoto wa haramu kuingia katika kusanyiko la Bwana kwa vizazi kumi (Kumb. 23:2).

Daudi alikuwa kizazi cha tisa cha mtoto wa haramu – mzao wa Peresi, mtoto wa Yuda na Tamari. Nasaba yake ina mawaa: baba yake alitokana na Moabu, uzao wa uzinzi kati ya Lutu na binti yake, hadi kwa Ruthu, Mmoabi aliyebadilika dini.

Daudi alionwa kuwa mtoto wa haramu na baba yake na ndugu zake. Madai haya yametolewa dhidi ya Nabii Daudi.

“Naliumbwa katika uovu” linaweza kumaanisha ama alipokuwa tumboni au katika siku za kukua kwake.

Popote utakapoelekeza maana yake, dhambi inayozungumziwa ni ya kibinafsi, si ya kurithi.

Hata kama “naliumbwa katika uovu” inahusisha siku za kukua, bado hizo ni dhambi binafsi. Mfalme Daudi anatuhumiwa kwa udanganyifu, uzinzi, na uuaji katika Biblia.

Ni ajabu kwamba dhana kubwa namna hii ya Kikristo – "Dhambi ya Asili" – haina ushahidi wowote wa moja kwa moja katika Biblia.

Hujui kwamba waislam mtatutoa sadaka wakristo na wayahudi ili tuingie motoni kwa ajili yenu. Hata uwe na dhambi nyingi kama mlima wewe utaleta Myahudi au mkristo atupwe kwenye moto kwa ajili yako.

“Allah atampa kila muislam myahudi au mkristo siku ya kiama na kusema,hii ni sadaka yako.(Muslim, Tawba 49).

Abu Musa' alisema kwamba mtume wa mwenyezi Mungu alisema(Amani iwe naye): Itakapofika siku ya kiama Allah atamletea kila muislam myahudi au mkristo na kusema: Hii ndiyo sadaka yako ya kukutoa kwenye moto wa jehanum.. (Sahih Muslim, Kitabu 037, Namba 6665)

Hakuna muislam atakufa kwenye moto wa jehanum,isipokuwa kwenye nafasi yake Allah atamweka Mkristo au Myahudi. Sahih Muslim kitabu 037,namba 6666.

Watakuja waislam siku ya kiama wenye dhambi nzito kama mlima, Allah atawasamehe na kwenye nafasi zao za motoni atawaweka Mkristo au Myahudi. Sahih Muslim kitabu 036,namba 6668.
 
Wewe unamatatizo ya akili sana swala la quran umekimbilia kwenye biblia hapo hata mimi muislamu unanshangaza sana

Hii ndo changamoto ya hii dini yangu ya uislamu unaulizwa hivi unajibu vile

Huwezi muuliza mkristo mambo ya dini yake akatumia quran hata siku-moja nyie ndo mnafayoiharibu dini yetu ya uislamu
 
Ushawahi kusikia kitu kinaitwa Ruqyah?,

Ingawa Waislamu wanadai Ruqyah ni njia ya "kukinga na sihirk", ukweli mchungu ni kwamba sehemu kubwa ya sura zinazotumika (kama Surah Al-Falaq, An-Nas, Ayatul Kursi,Surah Al- Jinn) zinasomwa kwa nia ya kuwasiliana na ulimwengu wa majini.

Mfano,Surah Al-Jinn (Qur’an 72) inasimulia jinsi majini walivyosikiliza Qur’an na kuteka mafundisho. Leo hii, wachawi wengi wa Kiislamu wanatumia aya hizo kwa kujua kuwa majini huelewa lugha hiyo na hujibu miito yao.
View attachment 3426640

“Na tulipomuelekea kwako kundi la majini, kusikiliza Qur’an…” (Qur’an 46:29)

Hii ni hoja hatari sana, kama majini wanaweza kuelekea na kusikiliza Qur’an,

je, si inamaanisha kuwa Qur’an inaweza kuwa mlango wa kuitana kati ya binadamu na majini?

Tuangalie Albadir na Kuomba Mabaya Kupitia Qur’an

Licha ya madai kuwa Ruqyah ni kinga tu, katika vitendo, Waislamu wengi hutumia aya hizo kuomba madhara kwa adui, kulipiza kisasi, au kuleta balaa.

Mfano halisi ni "Albadir", sala maalum inayosomwa kwa kumdhuru mtu. Kuna dua zinazotumia.

Suratul Falaq na An-Nas zikisomwa kwa nia ya kupeleka jinni amtese adui

Aya ya Qur’an 21:69 ("Ewe moto, kuwa baridi kwa Ibrahim") ikigeuzwa kinyume – kuleta joto kwa adui

Surah Taha 69 kuhusu Harut & Marut ikisomwa kwa kutumia “majina ya malaika wa uchawi” ili kufungua mlango wa roho mbaya
View attachment 3426641

➡️ Hii ni dhambi ya kuchanganya maandiko ya kidini na uchawi wa kishetani sawa kabisa na giza lililokatazwa katika Biblia (Kumb. 18:10-12).

🥥 Kombe, Nazi, na Maneno ya Kiarabu ni Uchawi wa Vifaa unaotumika sana

Katika maeneo mengi ya Afrika na Mashariki ya Kati, uchawi wa Kiislamu umetapakaa kupitia

📜 Kombe:

Kombe la glasi hujazwa maji, kisha aya za Qur’an huandikwa kwenye karatasi au kombe lenyewe. Sheikh anasoma Ruqyah juu yake, kisha mgonjwa au mteja huambiwa anywe maji hayo au ajipake. Mara nyingine hutumika kuonyesha picha ya adui kupitia kivuli.
View attachment 3426644

🥥 Nazi:

Hugawanywa vipande vinne au saba, huandikwa majina ya mtu, aya za laana, au majina ya majini kisha kuzikwa, kuchomwa moto, au kutupwa usiku kwa “madhara.”
➡️ Huu ni uganga uliosafishwa na jina la Qur’an!

View attachment 3426646
View attachment 3426647

✍️ Maneno ya Kiarabu:

Katika hirizi, vitambaa, nazi, n.k. huandikwa kwa kalamu surah ya Qur’an, majina ya malaika, na maandiko ya kisiri yanayojulikana na wachache. Mchanganyiko huu huitwa "talasim" (magic squares au maneno yaliyofichwa).
View attachment 3426648
➡️ Hili ni sawa na hirizi ya kishirikina. Inashangaza kuwa Uislamu unaruhusu uandishi wa Qur’an kwenye vitu vya kunywa au kuvaa.

Kuna Vitabu Vinavyofundisha Uganga kwa Kivuli cha Dini

Vitabu vya wanazuoni wa Kiislamu vingi vimejaa mafundisho ya Ruqyah ya kishirikina, mfano

Shams al-Ma'arif (Sun of Knowledge) – kitabu maarufu cha Kiislamu kinachofundisha uchawi, majina ya majini, talismans

Al-Buni's Magic Squares – chati za kutumia aya kwa kuleta pesa, mahaba, au madhara

Hisnul Muslim – ingawa ni kitabu cha dua, kinatumika kama kitabu cha uchawi wa ki-Qur’ani kwa wasioelewa kiroho

Manabii wa kiyahudi waliotumwa na YEHOVA kupitia Biblia wanakataa Matendo Haya ya “Kiroho”

“Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake motoni, wala asiyetabiri kwa kutumia wachawi au mizimu.”
(Kumbukumbu 18:10-12)

“Mungu ni Roho; nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.”(Yohana 4:24)

Tofauti na Qur’an inayotumika kama maneno yenye nguvu za ajabu, Biblia inafundisha kwamba nguvu ya kweli inatoka kwa Mungu mwenyewe, si kwa maneno yanayorudiwa kisiri.

Yesu na mitume na manabii haakuwahi kutumia majina ya siri, nazi, wala maandishi ya kisiri.

Yesu alifukuza pepo kwa mamlaka isiyotegemea zana za kidini.

Ruqyah, pamoja na “Aya za Kinga”, ni mfumo wa uganga wa kisasa uliojificha nyuma ya maandiko matakatifu. Hutumiwa:

Kuitana na majini

Kufunga au kulaani adui

Kutengeneza hirizi, maji, nazi, na vyombo vya uchawi

Kupitisha imani za giza chini ya kivuli cha dini

➡️ Hii si ibada ya kweli. Ni ushirikina uliopakwa rangi ya Uungu.
Kwahiyo unataka kusema Allah na Mtume Muhammadi amehalisha uchawi hayo uliyo yaleta ni baadhi matendo ya baadhi ya Waislam si Uislamu tuanzie kwenye madai yako kwanza
Katika Surah Adh-Dhariyat (51:56)
"وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُون"
"Sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi tu".
(Qur’an 51:56)

Ni wazi kwamba lengo kuu la kuumbwa kwa binadamu na majini ni kumuabudu Allah peke yake

"Enyi watu wetu! Tumekwishasikia Kitabu kilichoteremshwa baada ya Musa kinachosadikisha yaliyo kabla yake kinayaongoza kwenye haki na kwenye njia iliyo nyooka."
(Qur’an 46:30)

Hii inaonyesha wazi kuwa Qur’an ni ujumbe kwa viumbe wote wanadamu na majini

Surah Al-Jinn 72:11 "وَأَنَّا مِنَّا ٱلصَّـٰلِحُونَ وَمِنَّا دُونَ ذَٰلِكَ ۖ كُنَّا طَرَآئِقَ قِدَدًۭا"
"Na hakika miongoni mwetu wapo walio wema na wapo walio chini ya hivyo tulikuwa wa aina mbalimbali"

Na hili andiko lina maanisha na wao wapo Waumini na Makafiri tofauti na madai yako.

Na kuhusu tiba inayoitwa "Al-Ruqya" (الرُّقْيَة) ni matibabu ya kiroho kwa kusoma dua,Qur'an au adhkaar (zikr)"maneno maalumu" kwa ajili ya kuomba kinga dhidi ya uchawi, hasad (husuda), majini au maradhi ya roho na mwili.

Kuna Ruqya ya Kisharia (Ruqyah Shar’iyyah) hii ni ile inayotegemea
Aya za Qur'an mfano: Al-Fatiha, Ayat al-Kursiy (2:255), Al-Ikhlas, Al-Falaq na An-Nas na maneno yayanayo patikana katika hadithi sahihi mfano (A’udhu bi kalimaatillahi ttammati min sharri maa khalaq...) maana yake "najikinga kwa maneno ya Allah (Qur-an) kutokana na shari ya ulivyo viumba..."

Kusomwa kwa lugha ya Kiarabu na kwa nia ya kutibu kwa idhini ya Allah bila kutumia talasimu, hirizi, au maneno yasiyoeleweka.

Lakini Mtume (s.a.w) pia aliruhusu ruqya(tiba)
“La ba’sa bil-ruqa maa lam yakun fihi shirk.”
“Hakuna tatizo na ruqya(tiba) ikiwa haina shirki ndani yake”.
[Sahih Muslim]

Mfano wa Ruqya (Shar’iyyah):
Sura 3 za mwisho: Al-Ikhlas, Al-Falaq, An-Nas zinasomwa mara 3 na kupulizia au kupaka mwenye matatizo na ni tiba halali na Mtume Muhammad (s.a.w) aliitumia na kuifundisha.

hadithi zingine zinazokataza matumizi ya (ruqya) "tiba" zisizo za kisharia na za kishirikina
"إن الرقى والتمائم والتِّوَلة شركٌ"
(Inna al-ruqa wa al-tamaa’im wa ttiwala shirkun)
Maana “Hakika ruqya (zisizo shariyah) tamima (hirizi) na tiwala (uchawi wa mapenzi) ni shirki".
[Sunan Abu Dawud, Hadithi 3883]

Hadithi ya Imran bin Husayn (r.a)
Mtume (s.a.w) alisema:
(من تعلق تميمة فقد أشرك)
"Yeyote anayebeba tamima (hirizi), basi ameshirikisha".
[Musnad Ahmad, Sahih]

Hadithi ya Ibn Mas’ud (r.a)
Alisema: Nilimsikia Mtume wa Allah (s.a.w) akisema:
(الطِّيَرةُ شِركٌ، الطِّيَرةُ شِركٌ، الطِّيَرةُ شِركٌ)
“Twayara (imani za ushirikina kuhusu bahati mbaya) ni shirki...”
[Abu Dawud, Tirmidhi + Sahih]

Hadithi ya Zaynab (mke wa Abdallah ibn Mas’ud)
Alikuwa amevaa kamba ya hirizi, Mtume (s.a.w) alimkataza na kusema:
(إن هذه التمائم لا تزيدك إلا وهناً، فانزعيها عنك)
"Hizi tamima hazikuzidishii ila udhaifu zivue!"
[Ibn Majah, Sahih]

Mtume (s.a.w) aliruhusu ruqya yenye Qur’an, majina ya Allah au dua sahihi zisizo na shirki [Bukhari na Muslim]
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Ushawahi kusikia kitu kinaitwa Ruqyah?,

Ingawa Waislamu wanadai Ruqyah ni njia ya "kukinga na sihirk", ukweli mchungu ni kwamba sehemu kubwa ya sura zinazotumika (kama Surah Al-Falaq, An-Nas, Ayatul Kursi,Surah Al- Jinn) zinasomwa kwa nia ya kuwasiliana na ulimwengu wa majini.

Mfano,Surah Al-Jinn (Qur’an 72) inasimulia jinsi majini walivyosikiliza Qur’an na kuteka mafundisho. Leo hii, wachawi wengi wa Kiislamu wanatumia aya hizo kwa kujua kuwa majini huelewa lugha hiyo na hujibu miito yao.
View attachment 3426640

“Na tulipomuelekea kwako kundi la majini, kusikiliza Qur’an…” (Qur’an 46:29)

Hii ni hoja hatari sana, kama majini wanaweza kuelekea na kusikiliza Qur’an,

je, si inamaanisha kuwa Qur’an inaweza kuwa mlango wa kuitana kati ya binadamu na majini?

Tuangalie Albadir na Kuomba Mabaya Kupitia Qur’an

Licha ya madai kuwa Ruqyah ni kinga tu, katika vitendo, Waislamu wengi hutumia aya hizo kuomba madhara kwa adui, kulipiza kisasi, au kuleta balaa.

Mfano halisi ni "Albadir", sala maalum inayosomwa kwa kumdhuru mtu. Kuna dua zinazotumia.

Suratul Falaq na An-Nas zikisomwa kwa nia ya kupeleka jinni amtese adui

Aya ya Qur’an 21:69 ("Ewe moto, kuwa baridi kwa Ibrahim") ikigeuzwa kinyume – kuleta joto kwa adui

Surah Taha 69 kuhusu Harut & Marut ikisomwa kwa kutumia “majina ya malaika wa uchawi” ili kufungua mlango wa roho mbaya
View attachment 3426641

➡️ Hii ni dhambi ya kuchanganya maandiko ya kidini na uchawi wa kishetani sawa kabisa na giza lililokatazwa katika Biblia (Kumb. 18:10-12).

🥥 Kombe, Nazi, na Maneno ya Kiarabu ni Uchawi wa Vifaa unaotumika sana

Katika maeneo mengi ya Afrika na Mashariki ya Kati, uchawi wa Kiislamu umetapakaa kupitia

📜 Kombe:

Kombe la glasi hujazwa maji, kisha aya za Qur’an huandikwa kwenye karatasi au kombe lenyewe. Sheikh anasoma Ruqyah juu yake, kisha mgonjwa au mteja huambiwa anywe maji hayo au ajipake. Mara nyingine hutumika kuonyesha picha ya adui kupitia kivuli.
View attachment 3426644

🥥 Nazi:

Hugawanywa vipande vinne au saba, huandikwa majina ya mtu, aya za laana, au majina ya majini kisha kuzikwa, kuchomwa moto, au kutupwa usiku kwa “madhara.”
➡️ Huu ni uganga uliosafishwa na jina la Qur’an!

View attachment 3426646
View attachment 3426647

✍️ Maneno ya Kiarabu:

Katika hirizi, vitambaa, nazi, n.k. huandikwa kwa kalamu surah ya Qur’an, majina ya malaika, na maandiko ya kisiri yanayojulikana na wachache. Mchanganyiko huu huitwa "talasim" (magic squares au maneno yaliyofichwa).
View attachment 3426648
➡️ Hili ni sawa na hirizi ya kishirikina. Inashangaza kuwa Uislamu unaruhusu uandishi wa Qur’an kwenye vitu vya kunywa au kuvaa.

Kuna Vitabu Vinavyofundisha Uganga kwa Kivuli cha Dini

Vitabu vya wanazuoni wa Kiislamu vingi vimejaa mafundisho ya Ruqyah ya kishirikina, mfano

Shams al-Ma'arif (Sun of Knowledge) – kitabu maarufu cha Kiislamu kinachofundisha uchawi, majina ya majini, talismans

Al-Buni's Magic Squares – chati za kutumia aya kwa kuleta pesa, mahaba, au madhara

Hisnul Muslim – ingawa ni kitabu cha dua, kinatumika kama kitabu cha uchawi wa ki-Qur’ani kwa wasioelewa kiroho

Manabii wa kiyahudi waliotumwa na YEHOVA kupitia Biblia wanakataa Matendo Haya ya “Kiroho”

“Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake motoni, wala asiyetabiri kwa kutumia wachawi au mizimu.”
(Kumbukumbu 18:10-12)

“Mungu ni Roho; nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.”(Yohana 4:24)

Tofauti na Qur’an inayotumika kama maneno yenye nguvu za ajabu, Biblia inafundisha kwamba nguvu ya kweli inatoka kwa Mungu mwenyewe, si kwa maneno yanayorudiwa kisiri.

Yesu na mitume na manabii haakuwahi kutumia majina ya siri, nazi, wala maandishi ya kisiri.

Yesu alifukuza pepo kwa mamlaka isiyotegemea zana za kidini.

Ruqyah, pamoja na “Aya za Kinga”, ni mfumo wa uganga wa kisasa uliojificha nyuma ya maandiko matakatifu. Hutumiwa:

Kuitana na majini

Kufunga au kulaani adui

Kutengeneza hirizi, maji, nazi, na vyombo vya uchawi

Kupitisha imani za giza chini ya kivuli cha dini

➡️ Hii si ibada ya kweli. Ni ushirikina uliopakwa rangi ya Uungu.
😂😂😂😂 we jamaa kaz unayo.. huu uislam unaamka nao kila siku wenzako walifanya kuuangusha kwa silaha kubwa za kivita na wako wap leo na uislam uko wap 😂

We shawishi watu kwa uongo si hata hatukujibu we kama sio Shia basi muislam uliritad saiv mkrsto
 
Uislamu ni dini ya ujanjaujanja,hivo inabidi muambiwe ukweli
 
Pole kwa kukutana na matapeli,wamekuibia pesa zako.Hayo mambo hayahusiani na uislamu kabisa.Quran,ukianza kuisoma unasoma Najikinga na Mwenyezi Mungu,kutokana shetani aliyelaaniwa,kila chapter utakayoanza kuisoma.Qur"an ina aya kibao za kuwaonya,waumini wasimfuate shetani,ni adui.Wewe umekutana na matapeli,wamekutapeli pesa zako,umeingizwa mjini na wajanja.Yaonyesha wamekutapeli mamilioni.Pole sana
Kwamba hatujui kuwa Uislamu na ushirikina ni kitu kimoja?
 
Katapeliwa pesa na wajanja wa mjini.Kaandikiwq maandishi na herufi za kiarabu,kaambiwa ni Quran.Kakutana na wajanja wa mjini,hawa ni sawa na wale tuma pesa kwa namba hii.Sasa wamehamiq kwenye maandishi ya kiarabu.
Siwez kutapeliwa ,Yesu anatapeliwa?
 
Uislamu ni dini ya ujanjaujanja,hivo inabidi muambiwe ukweli
😂😂 We kama sio Shiaa Ni Uliritadi , kwaiyo una chuki isiyo na kifani Broo.. M nakushaur ukwel huwa unajulikana na uongo unajulikana

Huu muda unaupoteza kuandaa hivi vitu ungefocus na Life maisha magumu , Kama Dini ilikua tu inaanza na viongoz wa Macca wakat ule wakashindwa kui stop na ikaenea kwa nguvu we nd utaeza msukuma 😂😂 Wenzako walimuita mpaka mchawi na bado akapanua wigo we unaekuja jamii forum utaeza ndugu yangu 😂 woiii si hatuku stopishi we ni mwana tunakushaur tu pambna na maisha huu ni utoto unaleta
 
Ushawahi kusikia kitu kinaitwa Ruqyah?,

Ingawa Waislamu wanadai Ruqyah ni njia ya "kukinga na sihirk", ukweli mchungu ni kwamba sehemu kubwa ya sura zinazotumika (kama Surah Al-Falaq, An-Nas, Ayatul Kursi,Surah Al- Jinn) zinasomwa kwa nia ya kuwasiliana na ulimwengu wa majini.

Mfano,Surah Al-Jinn (Qur’an 72) inasimulia jinsi majini walivyosikiliza Qur’an na kuteka mafundisho. Leo hii, wachawi wengi wa Kiislamu wanatumia aya hizo kwa kujua kuwa majini huelewa lugha hiyo na hujibu miito yao.
View attachment 3426640

“Na tulipomuelekea kwako kundi la majini, kusikiliza Qur’an…” (Qur’an 46:29)

Hii ni hoja hatari sana, kama majini wanaweza kuelekea na kusikiliza Qur’an,

je, si inamaanisha kuwa Qur’an inaweza kuwa mlango wa kuitana kati ya binadamu na majini?

Tuangalie Albadir na Kuomba Mabaya Kupitia Qur’an

Licha ya madai kuwa Ruqyah ni kinga tu, katika vitendo, Waislamu wengi hutumia aya hizo kuomba madhara kwa adui, kulipiza kisasi, au kuleta balaa.

Mfano halisi ni "Albadir", sala maalum inayosomwa kwa kumdhuru mtu. Kuna dua zinazotumia.

Suratul Falaq na An-Nas zikisomwa kwa nia ya kupeleka jinni amtese adui

Aya ya Qur’an 21:69 ("Ewe moto, kuwa baridi kwa Ibrahim") ikigeuzwa kinyume – kuleta joto kwa adui

Surah Taha 69 kuhusu Harut & Marut ikisomwa kwa kutumia “majina ya malaika wa uchawi” ili kufungua mlango wa roho mbaya
View attachment 3426641

➡️ Hii ni dhambi ya kuchanganya maandiko ya kidini na uchawi wa kishetani sawa kabisa na giza lililokatazwa katika Biblia (Kumb. 18:10-12).

🥥 Kombe, Nazi, na Maneno ya Kiarabu ni Uchawi wa Vifaa unaotumika sana

Katika maeneo mengi ya Afrika na Mashariki ya Kati, uchawi wa Kiislamu umetapakaa kupitia

📜 Kombe:

Kombe la glasi hujazwa maji, kisha aya za Qur’an huandikwa kwenye karatasi au kombe lenyewe. Sheikh anasoma Ruqyah juu yake, kisha mgonjwa au mteja huambiwa anywe maji hayo au ajipake. Mara nyingine hutumika kuonyesha picha ya adui kupitia kivuli.
View attachment 3426644

🥥 Nazi:

Hugawanywa vipande vinne au saba, huandikwa majina ya mtu, aya za laana, au majina ya majini kisha kuzikwa, kuchomwa moto, au kutupwa usiku kwa “madhara.”
➡️ Huu ni uganga uliosafishwa na jina la Qur’an!

View attachment 3426646
View attachment 3426647

✍️ Maneno ya Kiarabu:

Katika hirizi, vitambaa, nazi, n.k. huandikwa kwa kalamu surah ya Qur’an, majina ya malaika, na maandiko ya kisiri yanayojulikana na wachache. Mchanganyiko huu huitwa "talasim" (magic squares au maneno yaliyofichwa).
View attachment 3426648
➡️ Hili ni sawa na hirizi ya kishirikina. Inashangaza kuwa Uislamu unaruhusu uandishi wa Qur’an kwenye vitu vya kunywa au kuvaa.

Kuna Vitabu Vinavyofundisha Uganga kwa Kivuli cha Dini

Vitabu vya wanazuoni wa Kiislamu vingi vimejaa mafundisho ya Ruqyah ya kishirikina, mfano

Shams al-Ma'arif (Sun of Knowledge) – kitabu maarufu cha Kiislamu kinachofundisha uchawi, majina ya majini, talismans

Al-Buni's Magic Squares – chati za kutumia aya kwa kuleta pesa, mahaba, au madhara

Hisnul Muslim – ingawa ni kitabu cha dua, kinatumika kama kitabu cha uchawi wa ki-Qur’ani kwa wasioelewa kiroho

Manabii wa kiyahudi waliotumwa na YEHOVA kupitia Biblia wanakataa Matendo Haya ya “Kiroho”

“Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake motoni, wala asiyetabiri kwa kutumia wachawi au mizimu.”
(Kumbukumbu 18:10-12)

“Mungu ni Roho; nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.”(Yohana 4:24)

Tofauti na Qur’an inayotumika kama maneno yenye nguvu za ajabu, Biblia inafundisha kwamba nguvu ya kweli inatoka kwa Mungu mwenyewe, si kwa maneno yanayorudiwa kisiri.

Yesu na mitume na manabii haakuwahi kutumia majina ya siri, nazi, wala maandishi ya kisiri.

Yesu alifukuza pepo kwa mamlaka isiyotegemea zana za kidini.

Ruqyah, pamoja na “Aya za Kinga”, ni mfumo wa uganga wa kisasa uliojificha nyuma ya maandiko matakatifu. Hutumiwa:

Kuitana na majini

Kufunga au kulaani adui

Kutengeneza hirizi, maji, nazi, na vyombo vya uchawi

Kupitisha imani za giza chini ya kivuli cha dini

➡️ Hii si ibada ya kweli. Ni ushirikina uliopakwa rangi
Iko hivi, dini ya uislamu ni salama sana na upo wazi sana , ILA KUNA MAMBO YANACHANGANYWA SANA NA WAISLAMU WENYEWE, NIkweli kuna waislamu wanachanganya dini na ushirikina , ila hayo wanayoyafanya ni kinyume na Uislamu wenyewe, huo ushirikina mnaouona kwa baadhi ya waislamu sio dini ni utashi wa mtu, na nichukizo kubwa kwa Allah,

1. Kuhusu Ruqyah na Qur’ān kutumika kwa “kuitana majini”
Qur’ān na Sunnah zinavyofafanua Ruqyah

Mtume ﷺ amesema:
"عرضت عليّ الرقى، فلا بأس بالرقى ما لم يكن فيها شرك"
“Ruqyah si vibaya mradi haina shirki.”
(Muslim 2200)
Ruqyah halali ni ile yenye:

1. Maneno ya Qur’ān au Du‘ā sahihi kutoka Sunnah.
2. Isiyo na maneno ya kishirikina au majina ya majini.
3. Imetolewa kwa nia ya kuomba shifaa kutoka kwa Allah pekee.

Hivyo: Kusoma Surah Al-Falaq, An-Nās, Ayatul Kursi, n.k., kwa nia ya kinga au tiba — si uchawi, bali ni ibada. Mtume ﷺ mwenyewe alizisoma aya hizo kwa kujikinga (Bukhari 5017, Muslim 2192).

Kuitana majini kupitia Qur’ān ni kosa na si sehemu ya Ruqyah ya Kishariah. Hii ni upotofu unaopingana na mafundisho ya Mtume ﷺ.
2. Kuhusu Surah Al-Jinn na madai kuwa Qur’ān ni “mlango wa mawasiliano na majini”
Qur’ān 72:1-2 inasema:
“Sema: Imepaswa kwangu kwamba kundi la majini lilisikiliza, likasema: ‘Hakika tumesikia Qur’ān ya ajabu, inayoongoza kwenye uongofu…’”
Aya hii inasimulia tukio la kihistoria kwamba majini waliposikia Qur’ān walivutiwa na kuamini — si kwamba Qur’ān imewekwa kama chombo cha kuwaalika majini.
Mtume ﷺ hakuwahi kuisoma Qur’ān ili awaitane majini, bali walikuja kwa amri ya Allah kusikiliza.
Kuitumia Qur’ān kama “mlango wa uchawi” ni matumizi mabaya na ni haramu.
3. Kuhusu “Albadir” na matumizi ya Qur’ān kuomba madhara
Qur’ān imekataza kutumia maneno yake kwa madhara:
“Wala msitumie kiapo cha Mwenyezi Mungu kama kizuizi cha kuwazuia kufanya mema…” (Qur’ān 2:224)
Mtume ﷺ amesema: "من دعا على مسلم بغير حق كان كالباغي عليه"
(Anayemlaani Muislamu bila haki ni kama anayefanya dhulma kwake) (Muslim 2587).
Hivyo, kutumia aya au du‘ā kuomba balaa au jinni kwa adui ni haramu na ni aina ya sihiri/shirk.
4. Kuhusu “Kombe, nazi, maandiko ya Kiarabu”
Mtume ﷺ alipokataza hirizi:
"إن الرقى والتمائم والتولة شرك"
(Hakika ruqyah za kishirikina, hirizi, na uchawi wa mapenzi ni shirki) (Abu Dawud 3883, sahih).
Lakini Maulamaa wamesema: Kuandika Qur’ān na kuosha ili kunywa kama tiba inajuzu kwa masharti (Ibn al-Qayyim katika Zād al-Ma‘ād), mradi:
Hakuna maneno ya kishirikina.
Imetokana na Qur’ān au Du‘ā sahihi.
Nia ni tiba kwa idhini ya Allah, si nguvu za maneno yenyewe.
Kutumia maandiko ya ajabu, majina ya majini, n.k., ni uchawi na ni haramu.
5. Kuhusu “vitabu vya uchawi vya Kiislamu” kama Shams al-Ma‘arif
Vitabu kama Shams al-Ma‘ārif vinafundisha uchawi na vimekatazwa wazi na wanazuoni wa Ahlus-Sunnah.
Hakuna ushahidi wa Mtume ﷺ kufundisha uchawi au kutumia “magic squares”.
Muislamu anatakiwa kujiepusha navyo kwa mujibu wa Qur’ān 2:102 na hadith: "اجتنبوا السبع الموبقات"… وذكر منها: السحر
(Jiepusheni na madhambi saba maangamizi… miongoni mwake ni uchawi) (Bukhari 2766, Muslim 89).

6. Miwisho

Ruqyah ya Kishariah = Aya za Qur’ān + Du‘ā sahihi + Nia ya kumuomba Allah → Halali.

Uchawi kwa jina la Qur’ān = Kuchanganya majina ya majini, hirizi, talismans → Haramu, ni shirki.(ushirikina na haufai)

Qur’ān haijaletwa kuitana na majini → Imekuja kwa ajili ya uongofu wa binadamu na majini.
Muislamu akitaka kinga: Ajikinge kwa dhikri, kusoma Al-Falaq, An-Nās, Ayatul Kursi, na kufuata Sunnah, si kwa mbinu za kishirikina.

Naamini utakuwa umenielewa zaidi
 
Back
Top Bottom