Sura za kurogea watu na kufanyia ushirikina

Alafu wakristo wengi sana wakizidiwa na tiba za kiroho huwafata hao mashekh kupata tiba kuna mama mmoja alikuwa anajilaumu kapoteza laki 8 kwa mwamposa bila mafanikio ila kampa shekh elfu 50 tu na tatizo lake likapona ni mama mmoja wa kikatoliki
Hao masheikh ambao wanatumia quran kufanyia shirki
Mimi ni muislamu nilikua nasikia tu ila leo kupitia uzi huu nimeujua kiundani sana
 
Umeamua kuvuruga thread makusudi. Weka hoja utaeleweka tu acha lugha chafu!
Kafiri ni lugha chafu? Kafiri ni sifa walioyonayo wakristo wote jivunie kuwa kafiri
 

Mzee Kisebengo atatumika kuzuia hizi scud za husuda
 
Naamu maam,taweez mzuri kabisa na matarasimu yake murwa in kabisa,ipo moja hapo,hata ukihitaji urais unaupata kwa sekunde moja 🥶
 
Pole sana kwa kukutana na matapeli,wakachukuwq pesa zako.hayo yote hayahusiani na uislamu.Umetapeliwa pesa nyingi,hasira zako za kutapeliwa unazileta jf.
 
Ukiwa ndani ya Yesu hurogeki
Yesu alibebwa na mapepo,akavalishwa nepi,akatundukwq msalabani,akadhihakiwa,akatemewa mate,akachomwa mkuki,akasulubiwa,akauliwa ndio kurogwa kwenyewe huko,alishindwa kujizuia yeye asirogwe,ataweza kukusaidia wewe
 
Pole kwa kukutana na matapeli,wamekuibia pesa zako.Hayo mambo hayahusiani na uislamu kabisa.Quran,ukianza kuisoma unasoma Najikinga na Mwenyezi Mungu,kutokana shetani aliyelaaniwa,kila chapter utakayoanza kuisoma.Qur"an ina aya kibao za kuwaonya,waumini wasimfuate shetani,ni adui.Wewe umekutana na matapeli,wamekutapeli pesa zako,umeingizwa mjini na wajanja.Yaonyesha wamekutapeli mamilioni.Pole sana
 
Waislamu wachawi sana kuna dada chumba chake kinatoa harufu ya ajabu mikononi kavaa mapete na mabangili ya hovyo mikono yote miwili..sehemu ninayoishi kila siku usiku lazima wakinukishe wachoma sijui mavitu gani!
 
Sema w jamaa ni kilaza
 
Waislamu wachawi sana kuna dada chumba chake kinatoa harufu ya ajabu mikononi kavaa mapete na mabangili ya hovyo mikono yote miwili..sehemu ninayoishi kila siku usiku lazima wakinukishe wachoma sijui mavitu gani!
Kule sumbawanga mbeya mbozi na nyanda ya kati ni waislamu?
 
Hao masheikh ambao wanatumia quran kufanyia shirki
Mimi ni muislamu nilikua nasikia tu ila leo kupitia uzi huu nimeujua kiundani sana
Hakuna masheikh wanafanya ujanja huo,huyo kakutana na matapeli.kaingizwa mjini. ,wamemtapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…