Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Staa wa Real Madril na Brazil, Vinícius Jr adaiwa kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha umbo la kidevu (chin harmonization) nchini Brazil, kwa mujibu wa TMC Esporte.
Katika picha hii ni muonekano wa zamani kabla hajafanyiwa surgery
Na hizi ni picha za kwanza baada ya kufanyiwa upasuaji huo.
Katika picha hii ni muonekano wa zamani kabla hajafanyiwa surgery
Na hizi ni picha za kwanza baada ya kufanyiwa upasuaji huo.