Surgery ya kidevu aliyofanya nyota Vinicius Junior imefanikiwa

Surgery ya kidevu aliyofanya nyota Vinicius Junior imefanikiwa

Kumbe jamaa ali-edit meno.
Halafu anajiona wa maana hajachora tattoo wakati ni yale yale!
Hio hata dingi yetu wa taifa alifanyaga siunajua tena huwez kudeliver speech imenyooka kwa tv nq meno kama unatafuna mahindi
 
Wajihi ni wa ajabu sana,ukigusa kitu kidogo muonekano unabadilika kabisa .
Kuna jamaa tukiwa watoto sijui aliwaza nini akanyoa nyusi aisee alitisha sana🙌
Sas na yeye kwanini anyoe nyusi🤔 au ndo bangi alilisi😁😁
 
Back
Top Bottom