Surgery ya kidevu aliyofanya nyota Vinicius Junior imefanikiwa

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
228
Reaction score
753
Staa wa Real Madril na Brazil, Vinícius Jr adaiwa kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha umbo la kidevu (chin harmonization) nchini Brazil, kwa mujibu wa TMC Esporte.

Katika picha hii ni muonekano wa zamani kabla hajafanyiwa surgery

​

Na hizi ni picha za kwanza baada ya kufanyiwa upasuaji huo.




Your browser is not able to display this video.
 
Hii kauli ya ajabu sana. Mtu anatoka upasuaji Leo madaktari wanaanza kujitapa wamefanikiwa. Halafu baadaye anapata complication kubwa Mimi ningependa kufanikiwa kuweka mgonywa kupona
 
Staa wa Real Madril na Brazil, Vinícius Jr adaiwa kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha umbo la kidevu (chin harmonization) nchini Brazil, kwa mujibu wa TMC Esporte.

Na hizi ni picha za kwanza baada ya kufanyiwa upasuaji huo.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…