Surgery ya kidevu aliyofanya nyota Vinicius Junior imefanikiwa

Yupo kwa show business, endorsement nyingi za matangazo zinaangaalia muonekano na uwezo ndio maana cr7 alirekebisha meno yake yalikuq kama punje za mahindi
😆😆 Management lazima ikubadilishe kama unataka kuwa celeb .. family nzima ya Michael kuanzia baba mpaka watoto walichonga sura
 
Huyu dogo angekuwa serious na ball hawa kima yamal wasingemsumbua kwa lolote sema ana mambo mengi sana anapenda uzuri sana ndio kinamponza
Mbona yamal nae yupo hivyo hivyo anapenda starehe + umalaya

I think starehe Zina waponza

Vini uwezo alionao Kwa kudriblee hata mbape hagusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…