Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Mbona amesahau kithethe? Au therapy inaenda kwa awamu.Staa wa Real Madril na Brazil, Vinícius Jr adaiwa kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha umbo la kidevu (chin harmonization) nchini Brazil, kwa mujibu wa TMC Esporte.
Katika picha hii ni muonekano wa zamani kabla hajafanyiwa surgery
Na hizi ni picha za kwanza baada ya kufanyiwa upasuaji huo.
Wanahisi mungu kakosolewa🤣Kivipi Sasa !? Mbona wabongo tuna mindset za kijima sana !!!?
Mnataka akose endorsements na advertisements kisa muonekano? Brazil mpaka leo pesa za endorsements kwa sehemu kubwa zinaenda kwa Neymar Jr na sababu ni presentability.Amezingua
Wajinga Sana 😄Wanahisi mungu kakosolewa🤣
Ikiwa hivyo wanadai Mungu ametenda miujiza 🤣Wajinga Sana 😄
So mbona Hawa lalamiki endapo ikitokea mtu alizaliwa kilema halafu akafanyiwa upasuaji ili aweze kukaa sawa , siwalalamike pia kwamba kazi ya mungu Ina ingiliwa Kwa maana mungu ndiye aliyepanga huyo mtu kuzaliwa kilema , Binaadamu bwana
😄😄 Binaadamu Kwa kweli hapana 🙌Ikiwa hivyo wanadai Mungu ametenda miujiza 🤣
Jinsi unavyokuja ndivyo wanakupokea🤣😄😄 Binaadamu Kwa kweli hapana 🙌
Naam 📌Jinsi unavyokuja ndivyo wanakupokea🤣
Walizidi kum-bully, walikuwa wanamsema ana monkey faceusikute kafanya hivyo ili kumridhisha mwanamke qmmake
pole yake ila angejifunza kujikubali, kumbuka hakujiumba alf hauwezi ukawaridhisha binadam woteWalizidi kum-bully, walikuwa wanamsema ana monkey face
Kidevu cha kinyonge ndiyo kipoje hicho?Michael B Jordan mwenyewe alichonga kidevu ndio kawa mnyama vile before that alikua na kidevu cha kinyonge mno
Kidevu cha kinyonge ndiyo kipoje hicho?
Dah!
Kumbe jamaa ali-edit meno.Yupo kwa show business, endorsement nyingi za matangazo zinaangaalia muonekano na uwezo ndio maana cr7 alirekebisha meno yake yalikuq kama punje za mahindi
Wajihi ni wa ajabu sana,ukigusa kitu kidogo muonekano unabadilika kabisa .mbona mm naona kam uso wote umebadilika au shida ni infinix yangu