ujoka JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 5,277 Reaction score 12,506 Jul 24, 2026 #81 po sumbe said: Kumbe jamaa ali-edit meno. Halafu anajiona wa maana hajachora tattoo wakati ni yale yale! Click to expand... Hio hata dingi yetu wa taifa alifanyaga siunajua tena huwez kudeliver speech imenyooka kwa tv nq meno kama unatafuna mahindi
po sumbe said: Kumbe jamaa ali-edit meno. Halafu anajiona wa maana hajachora tattoo wakati ni yale yale! Click to expand... Hio hata dingi yetu wa taifa alifanyaga siunajua tena huwez kudeliver speech imenyooka kwa tv nq meno kama unatafuna mahindi
P po sumbe JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 513 Reaction score 621 Jul 24, 2026 #82 ujoka said: Hio hata dingi yetu wa taifa alifanyaga siunajua tena huwez kudeliver speech imenyooka kwa tv nq meno kama unatafuna mahindi Click to expand... Hii sikujua,hapo line ya mwisho "kama unatafuna mahindi"😂🙌
ujoka said: Hio hata dingi yetu wa taifa alifanyaga siunajua tena huwez kudeliver speech imenyooka kwa tv nq meno kama unatafuna mahindi Click to expand... Hii sikujua,hapo line ya mwisho "kama unatafuna mahindi"😂🙌
GONGO BOY Senior Member Joined Jul 18, 2026 Posts 100 Reaction score 190 Jul 24, 2026 #83 po sumbe said: Wajihi ni wa ajabu sana,ukigusa kitu kidogo muonekano unabadilika kabisa . Kuna jamaa tukiwa watoto sijui aliwaza nini akanyoa nyusi aisee alitisha sana🙌 Click to expand... Sas na yeye kwanini anyoe nyusi🤔 au ndo bangi alilisi😁😁
po sumbe said: Wajihi ni wa ajabu sana,ukigusa kitu kidogo muonekano unabadilika kabisa . Kuna jamaa tukiwa watoto sijui aliwaza nini akanyoa nyusi aisee alitisha sana🙌 Click to expand... Sas na yeye kwanini anyoe nyusi🤔 au ndo bangi alilisi😁😁
P po sumbe JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 513 Reaction score 621 Jul 25, 2026 #84 GONGO BOY said: Sas na yeye kwanini anyoe nyusi🤔 au ndo bangi alilisi😁😁 Click to expand... 😂 Sijui aliwaza nini,na alikua mweupe kama papai. Bange alikuja kuzivuta early 20's na zilimnogea.
GONGO BOY said: Sas na yeye kwanini anyoe nyusi🤔 au ndo bangi alilisi😁😁 Click to expand... 😂 Sijui aliwaza nini,na alikua mweupe kama papai. Bange alikuja kuzivuta early 20's na zilimnogea.