Surpriiiiiiiiise my dear!


Nimekuelewa mkuu, tatizo mimi siwezi kujifanyisha (pretender) mara nyingi najaribu kuwa mkweli na wala huwa sifikirii mtu/watu watanifikiriaje. Ukweli umuweka mtu huru.
 
Da jamaa jasiri sana wewe.

Manuu, ukweli na uaminifu humfanya mtu kuwa huru na kupata mafanikio katika maisha. Jaribu kuwa hivyo halafu baada ya miaka kadhaa utagundua ninachokisema.
 

kweli kabisa Lizzy
 

Utaipokea na kuingelea kiukweli ili wakati mwingine asirudie tena itauma mara ya kwanza ila next time na next time itakuwa raha tupu. Katika mazungumzo kila mmoja amwambie mwenzie ukweli kwamba napendelea vitu hv na vile au nikiletewa vitu hv au vile am going crazy....

Kila shetani na mbuyu wake, thank God naufaham wa kwangu baada ya kupata shuruba mara mbili kipindi cha mwanzo. Nilijitutumua kununua gifts aiseee zilipokelewa vizuri ila zikawekwa kabatini huku naona na hazikutumiwa hata, nilikuwa mdogo ila sikukubali nikavunja ukimya na kuongelea issue nzima. Sasa hivi kutoa zawadi na kupokea zawadi ni raha tupu na utamu wa zawadi ni kutoa na kupokea, kwani RAHA YA MAPENZI NI KUPEANA
 
hii ni very good thread kwa wanawake

most ya zawadi zao huwa hivyo...

unaletewa shati la njano au pink...

unajifanya tu kufurahi lol

Jamani thats not right, ufurah huku hujaipenda, u dont hav to dis appoint ur partner bt with time u should talk about i so as not to repeat again.
SWALI;- kwa wanaume jee? mara zote mnaleta zawadi kwa wapenzi wenu wanazozifurahia? au ndo huwa HAZIPO KABISA? NOTE that wanawake r very good actress......?
 

kuna zawadi ambazo
kila mwanamke anazipenda
jewels..hasa gold lol
 
kuna zawadi ambazo
kila mwanamke anazipenda
jewels..hasa gold lol

hehhehehhe u may be right or u may be wrong, kama jewels zimejaa kwene dressing table we january december zawadi ni jewel tuu ukibadilisha inanoga. Hehee kwa miye ninayependa kikuku...... lol
 
kutokumvunja moyo naivaa mara moja najikazzzzzaaaaaaaaaaaaa then sivai tena
 
The boss nimecheka sana,kwamba shati la pink dah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…