Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,628
- 1,124
Mkuu mi nina mawazo tofauti na wewe!! hivi unafikiri kila mtu ana bahati ya kupata zawadi? wengine wanakata hata mwaka mzima hakuna mtu aliyemkumbuka kwa zawadi!! na isitoshe zawadi huichagui anachagua anayekuletea.Kwa kuyasema hayo maneno unaondoa nafasi ya zawadi kwa mara nyingine, mtoaji anavunjika moyo, kumbuka amenunua kwa upendo huku akifikiria kukufuraisha, itamuumiza.
Nimekuelewa mkuu, tatizo mimi siwezi kujifanyisha (pretender) mara nyingi najaribu kuwa mkweli na wala huwa sifikirii mtu/watu watanifikiriaje. Ukweli umuweka mtu huru.