Survey:Most Kenyans sleep Hungry

Survey:Most Kenyans sleep Hungry

Mchango wako wadhihirisha wakubaliana naye pakubwa, si lazima useme neno "nimekubali". Twamkana jamaa huyo na data zake kwani ni potovu. Umeona wapi maishani mwako picha au video ikionyesha watu wakifa njaa magharibi mwa Kenya? Ingekuwa labda kaskazini, pahali kama turkana singepinga kwani washawai kufa njaa hapo awali.
Waambie watu ambao hawajawahi labda kufika huko kenya hata nairobi tu hapo kuna watu kukamilisha milo mi 3 kwa siku ni kazi au mlo tu anaopeleka haukidhi kabisa viwango anapeleka sababu ya shida tu
 
Haha hawa jamaa wanakufa na tai shingoni...eti the super power of E.A while they have no food to feed their own..
 
nikikuta battle la wakenya na watanzania huwa nacheka sana,wabongo tuna IQ kubwa upande wa kashifa africa nzima,hawa jiran zetu hamna kitu ukiwakazia hawachelewi kusema sisi ni wavivu.wavivu wanashiba ?kalimen mpate chakula achananeni na mambo ya mitandaon mtakufa njaaa
Hamna kitu hawa wenyewe wanavyofikiri tu ni ukijua kiingereza bas unaelewa kila kitu wakati wapo empty
 
Waambie watu ambao hawajawahi labda kufika huko kenya hata nairobi tu hapo kuna watu kukamilisha milo mi 3 kwa siku ni kazi au mlo tu anaopeleka haukidhi kabisa viwango anapeleka sababu ya shida tu
Sasa ushatoka magharibi ukafika Nairobi, ni mabao tu wabadilisha Ili kukwepa ukweli. Ni wapi uliona video au picha ya watu wa magharibi wakifa njaa ulete hapa tukuamini wewe na huyo jamaa na data zake ?

Kisha Nairobi ni jiji, hakuna mashamba ya mahindi au mboga huko. Ikiwa watu wapo huku wakilala njaa basi ni juu kazi imeshindikana na hawawezi panda mimea juu ya paa. Na asilimia ni dogo sana bure ungeona picha yao wakifa njaa wakiletewa chakula ya msaada. Vile vile Dar ni jiji, hakuna shamba kule na asiye na kazi alala njaa lakini asilimia dogo. Haya niliyaona kwaletisha kule Cape Town, Harlem kule New York na yapo kote duniani kwa jiji na miji kwa hivyo usijitilie sintofahamu uchukue the moral high ground here
 
Sasa ushatoka magharibi ukafika Nairobi, ni mabao tu wabadilisha Ili kukwepa ukweli. Ni wapi uliona video au picha ya watu wa magharibi wakifa njaa ulete hapa tukuamini wewe na huyo jamaa na data zake ?

Kisha Nairobi ni jiji, hakuna mashamba ya mahindi au mboga huko. Ikiwa watu wapo huku wakilala njaa basi ni juu kazi imeshindikana na hawawezi panda mimea juu ya paa. Na asilimia ni dogo sana bure ungeona picha yao wakifa njaa wakiletewa chakula ya msaada. Vile vile Dar ni jiji, hakuna shamba kule na asiye na kazi alala njaa lakini asilimia dogo. Haya niliyaona kwaletisha kule Cape Town, Harlem kule New York na yapo kote duniani kwa jiji na miji kwa hivyo usojitilie sintofahamu uchukue the moral high ground here
We andika hata biblia nzima mtasoma na walala njaa wenzenu mpango ndo huo zama shambani piga kazi msife njaa superpower anashindia githeri na avocado
 
We andika hata biblia nzima mpango ndo huo zama shambani piga kazi msife njaa
Nawe andika uchambuzi wa kurani nzima kwa kiswahili ukijaribu kukwepa ukweli lakini ujue only 7%of Kenya is arable na twajilisha. Nyie arable land yenu yatoshana na Kenya nzima lakini hamuitumii vilivyo.
 
Hatutumii ilivyo si tungeshaanza kuzunguka kwa majirani kupeleka mabakuli ya kuomba kuuziwa chakula umeshaona lini Tz inazunguka kuomba wauziwe chakula?????
 
Nawe andika uchambuzi wa kurani nzima kwa kiswahili ukijaribu kukwepa ukweli lakini ujue only 7%of Kenya is arable na twajilisha. Nyie arable land yenu yatoshana na Kenya nzima lakini hamuitumii vilivyo.
Njaa ndo hizi sasa hadi vidole vinatetemeka unarudia rudia post tu
 
Nataka usome uelewe ju nimegundua ukiandikiwa mara moja hakuna uonacho na kuelewa. Sijui hata nikusomewa wasomewa saa hizi ju labda waeza kua kwa upande mbaya wa takwimu za walioenda shule.
 
Sio makosa yako ni shida za kuishi kwenye fulu suti la mabati ukikeshea mlo mmoja shida na huku jf unaposhindia hatutoi msosi wa bure blaza we nenda kahangaike usije usiku tena ukaanza kuhesabu marinda ya mabati
http://www.hivisasa.com/kisumu/news/127759

Oh western hivi western vile mnauana kisa chakula cha ndege (githeri)
 
Sio makosa yako ni shida za kuishi kwenye fulu suti la mabati ukikeshea mlo mmoja shida na huku jf unaposhindia hatutoi msosi wa bure blaza we nenda kahangaike usije usiku tena ukaanza kuhesabu marinda ya mabati
Hehe, sikulaumu Kaka. Wajua dunia ni kubwa kuliko hapo Singida rural ulikozaliwa, kasomea hadi shule upili, kaoa, na hivi sasa wafanya ujualo tu, kulima mihogo. Si kote watu waishi kwa nyumba la tope na paa la bati lenye kutu ndio ukiwa njaa uhesabu marinda yake kwani wasema ufanyalo. Fika hata angalau Singida urban ujionee mpya.

Waona kwa hio picha ya hadithi hio vile majengo, lami na gari zilivyo, kafike jijini utaweza kuviguza hata ukitaka
 
Haha mm nimekuja kuwauzia mahindi nipo ulipo nawaona mnavohangaika kupitisha siku kwa kuungaunga nawanunulia hapa watu wenu wa mjengo githeri ya bure angalau wasipondwe na mawe wanayobeba
 
Bro umeandika kama mtu aliebemendwa
 
Hilo ni jambo zuri sana unalofanya, hongera ! Angalua ukatoka mashinani ukaja kujichumia angalau senti huku Kenya, hongera !
 
Nimekuja kuwalisha na kushangaa hali ya maisha ya mkenya halisi
Single rooms mabati
Mtu upo mjini unaishi kwenye mabanda ya kufugia mbuzi sijui labda ndo middle class yenyewe
 
Bro umeandika kama mtu aliebemendwa
Na bado umekazana kupingana na aliebemendwa, tu Pamoja basi.
Nimekuja kuwalisha na kushangaa hali ya maisha ya mkenya halisi
Single rooms mabati
Mtu upo mjini unaishi kwenye mabanda ya kufugia mbuzi sijui labda ndo middle class yenyewe
Hili watu wa dar washazoea, mpaka mkafungua utalii wa mitaa ya mabanda kwani 92% yao waishi huko
Slum tours in Dar es Salaam Tanzania. Io 8% inayobaki si ni wanasiasa na wahindi tupu !

Haya, tuache kutaniana na kuongea kubugudhi watu aisee, tuwe wakubwa. Yule jamaa wa synovate data zake si kweli, ni bao la kisiasa wajaribu kulifunga hao.
 
Na bado umekazana kupingana na aliebemendwa, tu Pamoja basi.

Hili watu wa dar washazoea, mpaka mkafungua utalii wa mitaa ya mabanda kwani 92% yao waishi huko
Slum tours in Dar es Salaam Tanzania. Io 8% inayobaki si ni wanasiasa na wahindi tupu !

Haya, tuache kutaniana na kuongea kubugudhi watu aisee, tuwe wakubwa. Yule jamaa wa synovate data zake si kweli, ni bao la kisiasa wajaribu kulifunga hao.
Nyie si ndo uchumi mkubwa hayo mambo yanatokea wapi sie tuko huko kwa mnaosema ldc nyie ni middle class ila kwa maisha nayojionea bora tubaki kua ldc tu sio hii middle class uchwara
Hayo mabao mnayotaka kupigana mtajuana wenyewe sie tuko kwa mbaali tunaangalia na kuwaletea mahindi
 
Na bado umekazana kupingana na aliebemendwa, tu Pamoja basi.

Hili watu wa dar washazoea, mpaka mkafungua utalii wa mitaa ya mabanda kwani 92% yao waishi huko
Slum tours in Dar es Salaam Tanzania. Io 8% inayobaki si ni wanasiasa na wahindi tupu !

Haya, tuache kutaniana na kuongea kubugudhi watu aisee, tuwe wakubwa. Yule jamaa wa synovate data zake si kweli, ni bao la kisiasa wajaribu kulifunga hao.
Na hapa sibishani huu upande tunakujaga tu kusalimia mifugo we lolote utakalosema halina shida mana kelele za mbuzi hazimtishii mfugaji
 
So sad aisee.

Wakenya kwa kupenda ujiko, watakanusha hii.
 
Back
Top Bottom