PreGE2025 Susan Lyimo: Jambo pekee ambalo CCM wamebaki nalo ni kukimbiza mwenge mchana, wanadai unaleta amani basi waupeleke Congo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Susan Lyimo Mwenyekiti wa BAZECHA amesema kuwa jambo pekee ambalo CCM wamebakiwa nalo ni kukimbiza mwenge mchana huku wakidai unaleta amani basi waupeleke Congo ukalete amani huko.

Aidha amewataka wanaoitwa mabalozi huko vijijini huku wakiwa na bendera za CCM juu ya nyumba zao kuukuu wajitafakari na wajiunge na CHADEMA

"Wewe upo huku kijijini unajiita balozi acha niwaambie mabalozi wapo masaki jijini Dar es Salaam wewe unatumiwa tu, CCM wanatembezaga mwenge wa uhuru kila mwaka bila malengo yeyote eti mnaambiwa unaleta amani kwa amani ipi basi waupeleke DR Congo" Susan Lyimo

Your browser is not able to display this video.
 
Hahaaha "unaleta amani kwa amani ipi basi waupeleke DR Congo" Susan Lyimo 📌🔨
 
ANGALIA HUYU NDEZI ,KWANI HUU MWENGE KWANI NI WA CONGO? YAAANI MICHADEMA IMEKAA KINDEZI NDEZI TU YAANI HOVYO KABISA MTAHENY AMWAKA HUU
 
Da Suzy on FIRE

Tunakupenda sana, wananchi tupo nyuma yenu!
 
Susan Lyimo Mwenyekiti wa BAZECHA amesema kuwa jambo pekee ambalo CCM wamebakiwa nalo ni kukimbiza mwenge mchana huku wakidai unaleta amani basi waupeleke Congo ukalete amani huko.🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…