Naona humpendi kabisa Ruto. Je JPM? John Paul Mwirigi aliyechaguliwa kama mbunge na wakenya kule Imenti, Meru County. Kijana mdogo sana hata kazi hakuwa nayo. Alifanya kampeni akizunguka na bodaboda na ile sweta yake moja. Ruto alipoingia siasa enzi hizo chama ndo kikikuwa kila kitu. Si kabila, si hela KANU tu. Ruto alijenga jina alipokuwa kwenye Y2K, Youth for KANU '92. Hapo ilikuwa 'loyalty' yako ndo inakujenga, kidole kimoja juu kwenda mbele. Wewe jombaa upo biased sana tu kwenye maswala yeyote kuhusu Kenya.